msaada kuhusu BAN

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
NAHITAJI KUJUA KUHUSU BAN NI NINI? MAANA NAONA MTU KAANDIKA AMERUDI BAADA YA KUPGWA BAN. UKIFANYA NINI UNAPIGWA BAN. NANI ANAEKUPIGA BAN. UNAJITOAJE. KWEMYE BAN? WAZOEFU HEBU MNIJUZE HILI. NB: sikumbuki km nilishawahi kusoma rules
 
Bishanga,
Tusitishiane nyau bhana.
Madame B sio kutishiwa...yeye amekuambia tu
Kwani una kosa gani?
Ukiwa na tabia nzuri kama uliyonayo sasa hakuna tatizo ila ukikashfu watu na mananii ndio mgogoro na hapo ndio utajua mod ni nani lol
BTW Mzima?
 
Last edited by a moderator:
NAHITAJI KUJUA KUHUSU BAN NI NINI? MAANA NAONA MTU KAANDIKA AMERUDI BAADA YA KUPGWA BAN. UKIFANYA NINI UNAPIGWA BAN. NANI ANAEKUPIGA BAN. UNAJITOAJE. KWEMYE BAN? WAZOEFU HEBU MNIJUZE HILI. NB: sikumbuki km nilishawahi kusoma rules

Hahahaaa....!!!.Nimecheka hadi nmetoa machozi. kama hukumbuki jf rules zipitie tena mkuu. Mia
 
stineriga naona unanikosea heshima sasa ndugu yangu
Endelea na maneno yako tu ila badae usijeanza mambo ya oooh nilikuwa natania tu

sio vibaya makorokocho na wenyewe wakawa na mod wao,:flock:

mod wanajulikana/wanajijua na hawapazi sauti kuwa wao ni mod,:spider:
 
sio vibaya makorokocho na wenyewe wakawa na mod wao,:flock:

mod wanajulikana/wanajijua na hawapazi sauti kuwa wao ni mod,:spider:

Hakuna haja ya kujificha sababu umod hakuupata kwa njia ya magendo au kwa kutoa rushwa bali uwezo binafsi na kujituma. Kama vipi hata wewe tunaweza kukuweka kwenye list ya watu wanaochunguzwa kwa kuendekeza dharau ili kama ukiendelea ule ban ya miezi sita kudadadadadeki. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom