msaada kuhusu BAN

msaada kuhusu BAN

Hakuna haja ya kujificha sababu umod hakuupata kwa njia ya magendo au kwa kutoa rushwa bali uwezo binafsi na kujituma. Kama vipi hata wewe tunaweza kukuweka kwenye list ya watu wanaochunguzwa kwa kuendekeza dharau ili kama ukiendelea ule ban ya miezi sita kudadadadadeki. Mia

sawa korokocho figganigga,:tinfoil3:

mwambie mod wako wa kuchora anipige ban😛ainkiller:

mtu mzima hatishiwi mdudu
spider.gif
 
Madame B sio kutishiwa...yeye amekuambia tu
Kwani una kosa gani?
Ukiwa na tabia nzuri kama uliyonayo sasa hakuna tatizo ila ukikashfu watu na mananii ndio mgogoro na hapo ndio utajua mod ni nani lol
BTW Mzima?

Me mzima kabsaaa...!!!
Cjui wewe na naniliu wako.
Ila Erickb52,tell the truth ar u a Mod?
 
Last edited by a moderator:
kupigwa ban maana yake ni kupigwa katrip, unaenda vacation kwa siku kadhaa then unarudi...
 
:biggrin1: so far sijawahi kupigwa ban tuelezeni inakuaje mtu anapigwa ban ili na mi nitesti zali
 
Hahaha tutaenda ila naogopa TAKRIMA lol

Ni kwaajili ya kukupongeza tu wala si takrima. Mie mbona mtu swafi, mtiifu na mwadilifu
Wala hutanipata kwenye ban
Usiogope mwaya, lol.
 
Ban ni noma ndugu yangu we test kuvunja sheria tu utaona watakachokufanya kinaitwa BAN
 
Mkuu MtotoSix BAN naweza kuidefine kama ni adhabu amabayo hutolewa na uongozi wa social network flani mfano Jamii Forums, Facebook, Twitter kwa kosa la kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa za kuiongoza forum hiyo pamoja na members wake.

Adhabu ya BAN hutolewa kwa muda maalumu (mfano wa kifungo cha jela) kulingana na sheria ulilolivunja na kosa ulilofanya. Kwa muda wote ambao utakuwa unaitumikia BAN hutokuwa na uwezo wa kuchangia chochote katika social network husika mfano kupost, kutoa likes n.k hadi pale muda wa dhabu yako utakapokwisha.

Uvunjaji wa sheria za social network flani like Jamii Forums kunaweza kukupelekea wewe kupata hiyo BAN ila kwa upande wa jamii forums uvunjwaji wa sheria hizi zinaweza kupelekea wewe kupewa ban...kwa maelezo zaidi unaweza kuzisoma sheria hizo hapa

Only moderators and administrators ndio wenye uwezo wa kutoa BAN endapo utabainika umevunja moja wapo ya sheria hizo kulingana na ukubwa wa kosa hilo na njia pekee ya kuepuka BAN ni kufuata sheria zote za JF.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MtotoSix BAN naweza kuidefine kama ni adhabu amabayo hutolewa na uongozi wa social network flani mfano Jamii Forums, Facebook, Twitter kwa kosa la kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa za kuiongoza forum hiyo pamoja na members wake. Adhabu ya BAN hutolewa kwa muda maalumu (mfano wa kifungo cha jela) kulingana na sheria ulilolivunja na kosa ulilofanya. Kwa muda wote ambao utakuwa unaitumikia BAN hutokuwa na uwezo wa kuchangia chochote katika social network husika mfano kupost, kutoa likes n.k hadi pale muda wa dhabu yako utakapokwisha. Uvunjaji wa sheria za social network flani like Jamii Forums kunaweza kukupelekea wewe kupata hiyo BAN ila kwa upande wa jamii forums uvunjwaji wa sheria hizi zinaweza kupelekea wewe kupewa ban...kwa maelezo zaidi unaweza kuzisoma sheria hizo hapa Only moderators and administrators ndio wenye uwezo wa kutoa BAN endapo utabainika umevunja moja wapo ya sheria hizo kulingana na ukubwa wa kosa hilo na njia pekee ya kuepuka BAN ni kufuata sheria zote za JF.
ahsante Meezy sasa nimeelewa kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nilimwita Nanii Bi-Kiroboto Banaa..nikapigwa Kitu nimeachiwa Jana...Nimekoma

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
NAHITAJI KUJUA KUHUSU BAN NI NINI? MAANA NAONA MTU KAANDIKA AMERUDI BAADA YA KUPGWA BAN. UKIFANYA NINI UNAPIGWA BAN. NANI ANAEKUPIGA BAN. UNAJITOAJE. KWEMYE BAN? WAZOEFU HEBU MNIJUZE HILI. NB: sikumbuki km nilishawahi kusoma rules

vipi kuhusu masaburi unajua ni nini?
 
Back
Top Bottom