Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
gharama za course nayoenda kusoma ni mil 1 na laki 3,nimepewa mil 3 laki 9...hizi ni %ngapi?

300 asilimia, ila waeza kua ni kwa miaka mi 3

gharama za course nayoenda kusoma ni mil 1 na laki 3,nimepewa mil 3 laki 9...hizi ni %ngapi?

umesahau hesabu za kubadili namba kamili kwenda ktk asilimia?. Hilo swali la form one ndg.
gharama za course nayoenda kusoma ni mil 1 na laki 3,nimepewa mil 3 laki 9...hizi ni %ngapi?

We wacha UMASABURI!...hapo kuna hela vitu vingi,sasa asilimia anazozungumzia yeye ni ada atalipiwa kiasi gani,acha kutumia kijambio kucrash wenzio!lione,hesabu za darasani sio za hela!...+#...

Simple arithmetic.

Million3 na laki 9=3,900,000/= hii ni kwa miaka mitatu. Kama kozi yako ni 3yrs.

Gawanya kwa 3 upate kuwa kwa mwaka ni kiasi gani utapewa.

3,900,000/3=1,300,000/=

kwa mwaka mmoja unapewa milion 1 na laki tatu.

Gharama ya kozi ni millioni moja. 1,300,000-1,000,000=300,000.

Malizia hapo.

umepitia thread yake lakini?