Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 272
Hello wapendwa wa jf samahanini nna tatizo kidogo nna flash yang ndogo tu 16gb n toshiba nmechukua miezi michache iliyo pita nkawa nahifadhia vitu vyangu muhimu ( music videos, movie chache na Lectures zangu muhimu sanaa) na haikua na shda yoyote binafs vitu vyote hvyo nlikua navi download kutoka kwenye simu yangu navihamishia kwenye flash kuptia OTG then natumia kwenye tv kwaio io flash ilitumika na vitu viwili tu tv na simu
ila kuna mda rafki angu alitumia kwenye computer na laptop lakn n mara chache sanaaa
Sasa imekuja kuzingua nikiweka kwenye simu inasoma ila haifunguki yani inakua tu kama nimeweka USB na kwenye computer na pc inaonyesha kama USB tu
Kuna mtu alinambia shda ni kuchanganya simu na computer kama ni kweli Msaada nifanyaje??
sababu kama ni virus nnauhakika haina