Msaada: Kufungua Mashine ya Kusaga na Kukoboa

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
47,059
Points
2,000

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
47,059 2,000
Habari wanaJF.
Naombeni msaada wenu, nataka nifungue mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Naombeni mnisaidie jumla ya gharama kwaajili ya kufanikisha hiyo shughuli. Inshort nataka kufungua kikampuni changu cha kusambaza sembe madukani ila nikiwa nasaga mimi mwenyewe.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
353
Points
0

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
353 0
Vitu vinavyohitajika kinu cha kukoboleya mahindi, kinu cha kusagia mahindi, motor mbili kwa ajili ya vinu hivyo. Kuna aina mbili ya vinu cha kwanza kinatengenezwa sido na cha pili kinatengenezwa mtaani kwa moter zipo za china na italy piya zipo za kusukwa mtaani bei ya kinu ni 1.2 million *2 na motor nayo ni kama 1.5 millioni *2 vinu na moter mkaanda, pulling, inaweza kufika kama millioni 7 hadi 8 mizani kubwa, eneo kwa ajili ya hiyo biashara, umeme 3 phase , leseni kutoka mamlaka ya chakula. Mahindi kwa sasa kg ni 750/= gunia 75000/= bei ya kiroba kwa ajili ya package ni 400 kwa kiroba, tani 10 inatowa viroba 270 hadi 280 vya sembe kg 25 tani 10 piya inatowa magunia 45 ya pumba umeme ni kama 150000/=, labour charges ni kama 100,000/= bei ya tani 10 ya mahindi kwa sasa ni 7,500,000/= kazi kwako kufanya hesabu kama inalipa au hapana
 
MORIAH

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
103
Points
0

MORIAH

Senior Member
Joined Aug 13, 2012
103 0

Hawa ndio aina ya wachaingiaji tunaowataka. safi sana. Sasa ndugu inaonekana unajua sana ungesema moja kwa moja kama biashara ina faida au la.
 
UFASHE MLIBHONA

Senior Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
177
Points
0

UFASHE MLIBHONA

Senior Member
Joined Nov 28, 2012
177 0
Habari wanaJF.
Naombeni msaada wenu, nataka nifungue mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Naombeni mnisaidie jumla ya gharama kwaajili ya kufanikisha hiyo shughuli. Inshort nataka kufungua kikampuni changu cha kusambaza sembe madukani ila nikiwa nasaga mimi mwenyewe.
Natanguliza shukrani za dhati.
POLE lakini naona huyo jamaa keshakujibu. haraka haraka zitahitajika si chini ya sh 7m. sasa inategemeana wewe umejiandaa na vitu gani sasa hivi, eneo, ardhi ,mifumo ya maji ,usafi umbali wa umeme, lakini pia unataka machine yenye ukubwa gani( ie power)
 
tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
353
Points
0

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
353 0
kuna kitu kimoja nilisahau hapo juu hii biashara ningumu sana kupata masoko ya cash watu wengi wanakopesha unga madukani then wanapita kukusanya hela baada ya siku kadha na ukilipwa inabidi umpatie mzigo mwingine, ANGALIZO USINUNUWE MACHINES ILIYOTUMIKA ITAKUSUMBUWA BIASHARA YA SASA NI USHINDANI USIWE NA KITU CHA ZAMANI AMBACHO KINAGHARAMA KUBWA YA MATENGENEZO KILA WAKATI UKIFUNGA MPYA UNAKUWA NA GHARAMA YA UMEME MAINTENANCE COST INAKUWA NDOGO SANA, MAHINDI MAZURI NI YA KITETO, KIBAIGWA, KONDOA, KUNA AINA MBILI ZA MAHINDI AINA YA KWANZA INATOWA UNGA MWENGI NA AINA YA PILI HATOWI UNGA MWENGI KUJUWA NI KUANGALIA UKUBWA WA MAHINDI MAKUBWA SIO MAZURI WAO WANAYAITA PANADOL MFANO MAHINDI YA SONGEA, RUKWA , IRINGA NA TANGA, PIYA BAADHI YA SEHEMU ZA DODOMA, KONDOA, NA KITETO
 
georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,759
Points
1,225

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,759 1,225
Vitu vinavyohitajika kinu cha kukoboleya mahindi, kinu cha kusagia mahindi, motor mbili kwa ajili ya vinu hivyo. Kuna aina mbili ya vinu cha kwanza kinatengenezwa sido na cha pili kinatengenezwa mtaani kwa moter zipo za china na italy piya zipo za kusukwa mtaani bei ya kinu ni 1.2 million *2 na motor nayo ni kama 1.5 millioni *2 vinu na moter mkaanda, pulling, inaweza kufika kama millioni 7 hadi 8 mizani kubwa, eneo kwa ajili ya hiyo biashara, umeme 3 phase , leseni kutoka mamlaka ya chakula. Mahindi kwa sasa kg ni 750/= gunia 75000/= bei ya kiroba kwa ajili ya package ni 400 kwa kiroba, tani 10 inatowa viroba 270 hadi 280 vya sembe kg 25 tani 10 piya inatowa magunia 45 ya pumba umeme ni kama 150000/=, labour charges ni kama 100,000/= bei ya tani 10 ya mahindi kwa sasa ni 7,500,000/= kazi kwako kufanya hesabu kama inalipa au hapana
Kwa mahesabu haya inaonekana hii biashara hailipi. Swali: hawa waliopo kwenye hii biashara wanapataje faida?
 
Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,585
Points
2,000

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,585 2,000
Kwa mahesabu haya inaonekana hii biashara hailipi. Swali: hawa waliopo kwenye hii biashara wanapataje faida?
Wanatumia vipimo feki wakati wa kununua au wananunua kwa bei ya chini sana huko mashambani au wanapunja ujazo ktk packing za product zao na option ya mwisho ni kukwepa kodi.
 
Forum statistics

Threads 1,390,160
Members 528,096
Posts 34,044,181
Top