Biashara ya kusaga na kukoboa mahindi

Mar 16, 2021
9
6
Nilikuwa naomba muongozo kuhusu biashara ya kusaga na kukoboa Mahindi, nilifikiria kuanzisha biashara hii, sasa nilikuwa nakusanya changamoto za hii biashara, na utendaji wake, technique za kupata soko kirahisi kwa bidhaa nitakazozalisha.

Pia Mwongozo kuhusu mashine (kampuni gani inatoa machine bora na imara na soko lipoje la mahindi kwa sasa)
 
Kila jema,ila cha msingi zingatia location na namna ya kuitangaza bidhaa yako,pia jiandae kwa ghararama za kusajiri bidhaa yako nenda sido kwa taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom