Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,353
Habari wanaJF.
Naombeni msaada wenu, nataka nifungue mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Naombeni mnisaidie jumla ya gharama kwaajili ya kufanikisha hiyo shughuli. Inshort nataka kufungua kikampuni changu cha kusambaza sembe madukani ila nikiwa nasaga mimi mwenyewe.
Natanguliza shukrani za dhati.