Au amlete humu JF.....sisi hatuna noma wala nini........
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.Unagusa level siyo zako... kama unaanza kusema huna mkwanja basi unakanyaga moto...
Mtoto natokea majuu, na ni wakishua balaa, Afu natamani maisha anayo ishi ila mi sina uwezo huo. Ila nikimpata nita enjoy sana hela zake na tutashirikiana kimaisha .
Kwao ni hapahapa bongo na nimeshakutana nae mara mbili uso kwa uso ndo nikamuomba contact.
Kumbe mtoto anatokea India alikua kwenye matibabu Apollo nini?Hahaha! Sijapata kuona mtu chizi kama wewe.
Usikute walikuwa wanafahamiana kitambo na huyo msichana anarudi zake toka huko India kwa likizo
Wanawake hasa wenye malengo ya kimaisha wanataka mtu awe real sio unamletea maigizo maana maigizo huwa yana mwishoKama lengo ni kuwa mchumba na baadae umuoe, na huna mkwanja kiivile, nunua nyanya, pilipili hoho, nazi, karoti, vitunguu, mchelele/viazi, matunda, nyama ya ng`ombe/kuku/samaki etc. Pika chakula hapo unapoishi, tengeneza juisi na andaa matunda, umkaribishe mpate chakula. Akipenda anaweza kuja mkapika pamoja huku mkiongea. Mkimaliza kula unaweza kumtembeza mtaani kwenu apajue huku mkiendelea na maongezi. Lakini kama malengo ni kupiga tu mzigo, then nakushauri hata ukakope VIKOBA ili umpeleke sehemu za "kishua". BE REAL, young man!
Nakuelewa...lakini usisahau ndege wafananao ndiyo huruka pamoja... usije ukaumizwa tu mbele ya safari...H
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
Mtoto natokea majuu, na ni wakishua balaa, Afu natamani maisha anayo ishi ila mi sina uwezo huo. Ila nikimpata nita enjoy sana hela zake na tutashirikiana kimaisha .
Kwao ni hapahapa bongo na nimeshakutana nae mara mbili uso kwa uso ndo nikamuomba contact.
Kama geto lina mswaki, kikombe, stuli na jagi la TOKYO ni halali yako kabisa kufyonzwaGeto lipo ila kwa vile hajakolea kisawasawa naamini atanifyonza..mxhuuuu
Atakuwa kamtoa peperonity..Ndio nataka nijue......
Na ukumbuke mtoto anatokea majuu.......usisahau hii......
Mkuu mfukoni niko fresh kidogo , ila ninajua hawezi akaacha kuchangia kiasi nikimfikisha viwanja
atakua kamtoa badoo af mchumba kamwambia yuko mamtoni kumbe yuko mtoni kwa azizi alyHuyo mchumba umemtoa badoo au Facebook?
Hee we usije ukawa kaka mtu, we sema tu kiwanja, nishachanganyikiwa hapa. maana anasubiri jibuAlikua mamtoni nchi gan na mji gan ?? Alikua akifanya shughuli gan huko ?? Ameishi kule mda gan ??
Na maana yangu kuku uliza hvyo. Tehe
Kumbe mtoto anatokea India alikua kwenye matibabu Apollo nini?
Itabidi atafute kiwanja chenye kachori, basi aende twoo cc Preta
Hee we usije ukawa kaka mtu, we sema tu kiwanja, nishachanganyikiwa hapa. maana anasubiri jibu