Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,043
Mpeleke coco beach kwa manji kwenye mihogo pale
Wewe MREMBO nilikuomba msaada hapo Arusha lakini hujali,hujui unachezea bahati? hayaaaa basi sawaaaaaa.Ohooooo.......sasa wewe unatafuta shida.........tena sio ndogo......
nayote nanzala motonyoso epai wapi nabiso Pretta manyanga na ngaiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Ezamona.....
Makambo ezali minene.......mwasi atamkatala......
Wewe MREMBO nilikuomba msaada hapo Arusha lakini hujali,hujui unachezea bahati? hayaaaa basi sawaaaaaa.
Najua Mrembo wewe ulizaliwa na bahati lakini mimi nataka nikuongezee,msaada kuhusu yule mtoto Josephine pale Bondeni mbona hujanichukulia contact zake?Msaada upi tena kamanda wangu.......?......bahati nilishazaliwa nayo meku.....Asante kwa kujali lakini.......
Prtta vipi wewe hutaki nije kukupeleka Nairobi,nikufikishie pale Grand Regency Hotel?,halafu niku entertain to Royal Standard plus Safari to Maasai MARA AND full TREKING and experience the wilderness?OK ITS YOUR CHOICE hiyo ndio bahati nayokuahidi.Ni Euro currency inaongea sababu niko huku nafagia barabara nazichanga ili nikifika nitembee juu ya red carpet.Msaada upi tena kamanda wangu.......?......bahati nilishazaliwa nayo meku.....Asante kwa kujali lakini.......
Hata kugegedana ikiwezekana!Tutawapisha wafanye maongezi yao.
Very true.. Kama ni wake ata stay na kuvumilia hali yake na kama si wake basi si wake and she will go... Anaweza aka pretend the life that is not his at the end akaachwa ...some of us women , God helps us.. A real woman anaye jitambua.hatopenda kudanganywa haswa when it comes kwa material things ambayo haya last forever .. Ngoja tuu niishie hapa.. Thanks..Kama una malengo naye ni bora kuwa real tu..Maigizo yatakugharimu unless kama utaweza kumaintain..Kuhusu viwanja ngoja wadau waje
Mie nataka nikutoe out keshoHuyo mchumba umemtoa badoo au Facebook?
"Anaweza kutnitoa kimaisha". Mh sasa hiyo si itakua mtoto wa kiume unapenda kitonga?H
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
Ni kweli mpendwa..Na mwanamke anayejielewa akigundua unamletea maigizo anakushusha thamani..Ila ukipata mcharuko hayo maigizo ndo anayafurahia na zaidi yeye ndo atakuzidishia maigizo hadi ukomeVery true.. Kama ni wake ata stay na kuvumilia hali yake na kama si wake basi si wake and she will go... Anaweza aka pretend the life that is not his at the end akaachwa ...some of us women , God helps us.. A real woman anaye jitambua.hatopenda kudanganywa haswa when it comes kwa material things ambayo haya last forever .. Ngoja tuu niishie hapa.. Thanks..
Haahaaa.. Thanks..Ni kweli mpendwa..Na mwanamke anayejielewa akigundua unamletea maigizo anakushusha thamani..Ila ukipata mcharuko hayo maigizo ndo anayafurahia na zaidi yeye ndo atakuzidishia maigizo hadi ukome
Mie huko out sipo nipo Facebook na jf 😀Mie nataka nikutoe out kesho
Prtta vipi wewe hutaki nije kukupeleka Nairobi,nikufikishie pale Grand Regency Hotel?,halafu niku entertain to Royal Standard plus Safari to Maasai MARA AND full TREKING and experience the wilderness?OK ITS YOUR CHOICE hiyo ndio bahati nayokuahidi.Ni Euro currency inaongea sababu niko huku nafagia barabara nazichanga ili nikifika nitembee juu ya red carpet.
Ok najua wewe uko advance,sasa chagua Maldives,Tennerife,Cassablanca,Malorca,Corfunapa,Corsica ila usirudie kutaja Brunei beach hiyo nchi ni strictly religious na hutofurahi huko,wewe kubali yangu tu au KUBALI YAISHE.Hayo ndio maisha yangu bro......wewe niambie utanipeleka Brunei beach nikapate tan...,.. Euro....sijui dollar mbona kawaida sana........
Wee mi ntakutafutia hiyo namba.......mengine......kuwa mpole.......
Cc Zamiluni Zamiluni
Halafu umempelekea C.C Zamiluni Zamiluni au ndio Pedejeeee mwenyewe?Hayo ndio maisha yangu bro......wewe niambie utanipeleka Brunei beach nikapate tan...,.. Euro....sijui dollar mbona kawaida sana........
Wee mi ntakutafutia hiyo namba.......mengine......kuwa mpole.......
Cc Zamiluni Zamiluni
Mimi mpole bhana nauliza lini hiyo namba utanipa Arawaa?,malipo utachagua wewe bhana mimi sikwambii tena.Hayo ndio maisha yangu bro......wewe niambie utanipeleka Brunei beach nikapate tan...,.. Euro....sijui dollar mbona kawaida sana........
Wee mi ntakutafutia hiyo namba.......mengine......kuwa mpole.......
Cc Zamiluni Zamiluni
Indeed, watu ni Canary island....au pukeit Thai !!Hayo ndio maisha yangu bro......wewe niambie utanipeleka Brunei beach nikapate tan...,.. Euro....sijui dollar mbona kawaida sana........
Wee mi ntakutafutia hiyo namba.......mengine......kuwa mpole.......
Cc Zamiluni Zamiluni