Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,112
Ahaaaaaaa!!!!! Sheri nangaeeeeEzamona.....
Makambo ezali minene.......mwasi atamkatala......
Ahaaaaaaa!!!!! Sheri nangaeeeeEzamona.....
Makambo ezali minene.......mwasi atamkatala......
Huu ndio ushauri wa kiutu uzima, WENYEWE MNAANZA KUTUHARIBU KWA SHOWOFF ZA KIJINGA, Na kujionyesha uko vizuri ni bora akujue vyema kama mwenza wangu kapuku, ila kujificha uhalisihia wako na akaja akajua unafake hiyo life hata kuamini hata kwa jambo moja na ujue atakudharau na baada atakumwaga tu.Kama lengo ni kuwa mchumba na baadae umuoe, na huna mkwanja kiivile, nunua nyanya, pilipili hoho, nazi, karoti, vitunguu, mchelele/viazi, matunda, nyama ya ng`ombe/kuku/samaki etc. Pika chakula hapo unapoishi, tengeneza juisi na andaa matunda, umkaribishe mpate chakula. Akipenda anaweza kuja mkapika pamoja huku mkiongea. Mkimaliza kula unaweza kumtembeza mtaani kwenu apajue huku mkiendelea na maongezi. Lakini kama malengo ni kupiga tu mzigo, then nakushauri hata ukakope VIKOBA ili umpeleke sehemu za "kishua". BE REAL, young man!
upo wapWadau, Mi ni mshamba kidogo wa maeneo ya kudatia.
Hapa nina miadi na mtoto wa kishua, amenambia nimtoe out tukapige story ila sasa sijui nitampeleka wapi? Mtoto anarudi kutoka ma mtoni week ijayo.
Msaada haraka maana sijuia pa kwenda. Ila pawe cheap kidogo maana sina mkwanjwa. Na iwe rahisi kufika hata kwa daladala.
Iwe sehem tulivu ambayo nitapia nae story hata masaa matano.
Lengo langu badae awe mchumba.
kilimanjaro hotel uda zinafika muda wote
amtembezee kitaa? mambo ya lugumi hayoKama lengo ni kuwa mchumba na baadae umuoe, na huna mkwanja kiivile, nunua nyanya, pilipili hoho, nazi, karoti, vitunguu, mchelele/viazi, matunda, nyama ya ng`ombe/kuku/samaki etc. Pika chakula hapo unapoishi, tengeneza juisi na andaa matunda, umkaribishe mpate chakula. Akipenda anaweza kuja mkapika pamoja huku mkiongea. Mkimaliza kula unaweza kumtembeza mtaani kwenu apajue huku mkiendelea na maongezi. Lakini kama malengo ni kupiga tu mzigo, then nakushauri hata ukakope VIKOBA ili umpeleke sehemu za "kishua". BE REAL, young man!
Hii comment naona wa Beijing wameilike sana. Kumbe wanapenda kupikiwa?! Ngoja, nianze mazoezi na mimi.Kama lengo ni kuwa mchumba na baadae umuoe, na huna mkwanja kiivile, nunua nyanya, pilipili hoho, nazi, karoti, vitunguu, mchelele/viazi, matunda, nyama ya ng`ombe/kuku/samaki etc. Pika chakula hapo unapoishi, tengeneza juisi na andaa matunda, umkaribishe mpate chakula. Akipenda anaweza kuja mkapika pamoja huku mkiongea. Mkimaliza kula unaweza kumtembeza mtaani kwenu apajue huku mkiendelea na maongezi. Lakini kama malengo ni kupiga tu mzigo, then nakushauri hata ukakope VIKOBA ili umpeleke sehemu za "kishua". BE REAL, young man!
hahahaha achukue room pm jf kibokoHata hapa kiwanja cha jf kiko poa tu, akiona noma hapa achukue room huko pm
JF noma sana. Watu wanascrutinize bandiko between the lines. Duuh!Si hadi awe nalo teh