Msaada kisima changu kimejaa chura

Pole kiongozi
Mimi nimekereka na badhi ya wachangiaji wanaoleta utani kwa masuala sirias
mara ooh Yanga, mara form six nk
TUACHENI UTANI MTU ANAPO OMBA MSAADA WA MAWAZO
KAMA HUJUI SI UPITE TU...KWANI NILAZIMA KUCHANGIA KILA KITU??????
 
Siku hizi JF imejaa mizaha sana nmesoma comments 80% ni upuuzi tu hii sio JF iliyo nishawishi kujiunga nayo. Back to your topic tumia dawa ya kutibu maji ikiwezekana tafta tank kabla maji hayajatumika hifadhi kwenye tank yafanyie treatment then tumia , pili funika kisima chako pia tengeneza utaratibu wa kua una ki drain kuondoa uchafu .
 
Wauze guanzoo
 
Afya ya nani?
Watumiaji wa hayo maji and I think mleta mada avunje hicho kisima maana sio Bora kisima kimejaa vyura it's obvious sio safe kutumia, atumie Ile technology nyingine ya kuchimba sehemu ndogo mpaka chini
 
Hao ni mboga. Ni kama mtu alalamike kuwa kachimba kisima sasa kina samaki afanyeje? Watu watamshangaa sana. Vua hao chura kaanga unakula kwa ugali au wali. Unaweza pika roast pia huwa ni nzuri.
 
Weka chlorine wataondoka woote, ila ningekushauri utumie fursa hiyo mpya: siku hizi kuna demand kubwa za hizo makitu kwa majaribio ya a level, wauzie
 
Fanya usafi wa kisima chako umeacha hadi wanazaliana huo ni uchafu.
 
Hii habari haina impact ilifaa uitume WhatsApp group la mtaa wakupe ushauri,au balozi wako
 
Vua wauzie wachina wengine kula mwenyewe.
 
wewe wavune alaf kawauze kwenye migahawa ya wachina{fursa hiyo}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…