Msaada kisima changu kimejaa chura

Kwani chura makazi yake wapi? Uwaandalie makazi halafu ulalamike [emoji2][emoji2][emoji2]
 
nenda idara ya maji, waeleze tatizo.......utapata suluhu....ila kumbuka visima vina tozo ya serikali....jipange....
 
🀣🀣🀣🀣 Aisee hizi komenti za humu!
 
Fuga tu Samaki Mkuu, hao Vyura watageuzwa Chakula Asubuhi tu.
 
Mkuu weka chlorine ila tafuta mtaalamu akapime maji yako kabla ya kuweka chlorine ili ajuwe chemical properties ya maji yako
 
Ata akiweka sato wa 5 wakubwa kiasi wanauwa vyura wote
Akiweka Sato hatayatumia tena hayo maji maana litageuka kuwa bwawa la samaki. Sato wana tabia ya kuzaliana kwa haraka hivyo watajaa kwenye hicho kisima, pia sina uhakika kama Sato ataweza kuwameza vyura wakubwa. Bora atupiemo Kambale.
 
Natafuta madume mawili, sichanganyi jinsi maana unaweza solve tatizo la chura ukaweka tatizo la kambale
Kambale ata ukichanganya jinsia Haina tabu,hawawezi zaliana kwenye icho kisima,wataishia kugongana tu,ukikosa hao kambale nicheki pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…