Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Mwambie kaka yako atafute kwake...kwani si ana kazi yake?
 
Subiri mama aje watayamaliza na mkwewe! [emoji24]
 
miaka 35 anaish kwa shemeji hadi analeta mchumba humo humo hamna kitu tena humo
samaki mkunje angali mbichi
mtimueni msimpe favour za kipuuzi ayajue maisha
ww unahisi unampenda kwa msaada unaompa bt ukweli ni unamuharibu mm 20 yrs tyr nilikua na maisha yangu
 
Kukaa na kaka MTU anamiaka zaidi ya 35 eti mnaishi naye tena Wa kiume nimekushangaa sana.
 
Mwambie apange chumba chake plz huo ndo ushauri Wangu maana kwetu miaka kumi na nane tu! Anaanza kujitegemea.
 
Kaka yako ni hasara nawe pia bila kumsahau mumeo

Nyie mkaka wa miaka 35 anakaa kwenu na mnamruhusu analeta wanawake ndani??
 
Kilichobaki ni wewe na kaka yako kuwa deported kijijini kwenu na mmeo.Familiya yenu ni ya ajabu mno,kitu la miaka 35 limechukuliwa na shemeji kutafutiwa kazi nje alafu linazingua mpaka linarudishwa,alafu bila aibu linafikia tena kwa shemeji na kama haitoshi linabadilishia wanawake hapo.Huyo mmeo hana ndugu wanaokutembelea hapo na kuwasiliana na ndugu yao?.Narudia mtakuwa deported kijijini kwenu wewe na kaka yako.
 
Lijitu lina miaka 35,linaishi kwa Dada...ajabu sana si uliambie liende kijijin likakate mkaa...
Alafu hiyo tabia mmemuendekeza mwachen tu aendelee na mama kubwa wake si mmekubal hapo kwako ni lodge hata humuonyi?
 
SPIRIT OF LUST is disturbing your loved broda. ntakusaidia kumwombea aisee NiPM JINA LAKE NIANZE KAZI THIS TIME.
 
Huyo ndo wakusomesha mtu?
 
Mtoa mada samahani,familiya yako ni wenyeji wa mkoa gani?.
 
Nimesoma, nilipofika hapo kwenye "anazungumzia kuweka banda la kuku" ikabidi ni pause kwanza nicheke....usikute ndiye aliyeweka ule uzi wa vifaranga vya kuchi.

Au unamkata sana jicho akaona atafute mbinu ya kukwambia "hapa ndio nimefika shoga"
 
Kosa lako ni kumfanya kaka yako awe tegemezi anamatatizo gani 35yrs kuishi kwa shemeji??
 
Havina uhusiano. Tafautisha character, behaviour na personality. Naomba tu ushauli wako. Alafu huko nyuma hakuwa hivyo
Kama ni kukusomesha alikusomesha wewe siyo mmeo.Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Mmeo haifurahii hali hiyo,unadhani watu wa familiya yake wanaweza kukutembelea hapo kwa namna hiyo?.Mmeigeuza Nyumba kuwa danguro alafu unasema eti anakaangiza.Vitabia vya malezi ya pwani ndo vijana wanalelewa kijinga hivyo.Mkoa ninaotoka mimi hili ni jambo la aibu mnoo,Katika ukoo wenu hakuna wanaume wenye ajili kumuondoa japo?.eti alinisomesha,upuuzi huo.Kaka yako amelelewa na mama yenu katika hali ya kutokuwa responsible ndio maana hana hata familiya wala kupanga chumba kimoja kiburugwa.
 
Kumbe ni wewe? Habari za moshono? Pole sana, duh kudeal na huyo bro ako ni ngumu,jaribu kumueleza waziwazi kuwa mama anakuja na haitaleta picha nzuri yeye alale hapo na mzigo wake tena umri sawa na mama,akishindwa kuelewa mwambie mumeo,mumfukuze yawezekana anafanya hao mambo kisa hana mizigo ya kulipia utilities kodi ya pango,umeme,maji na taka n.k akitoka kwenda kujitegemea akili itasogea
 
Umeongea kwa hisia kuliko ushauri. Nini shida mkuu. Ndomana awali ckutaka kulizungumzia hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…