Jifunze kutengeneza mkorogo mzuri na usio na madhara kwa afya yako

Maelekezo

Mahitaji
1. Extra clair cream yenye lemon
Extra clair cream ipo ya carrot na lemon.
Wewe chukua ya lemon.
Inauzwa 7000/=

2. Glycerine ya Alovera
Inauzwa 1000/=

3. Movate tube 2,(Kama unataka kung'aa sana) au tube 1,(kama hutaki kung'aa sana)
Tube moja sh 3000 mbili sh 6000

4. Lotion yoyote laini yenye mchanganyiko wa asali ndani yake mfano hizi za Revlon au hizi za kupaka mwilini ila ziwe na mchanganyiko wa asali ndani yake.
Hizi zinauzwa sh 5000 mpaka 7000

5. Mfuko mdogo kwa ajili ya kuchanganyia mchanganyiko wako



Hatua.

1. Chukua mfuko tia lotion ya Revlon pamoja na cream ya Extra clair ya lemon kisha chukua kijiko na uchanganye mchanganyiko wako vizuri.

2. Baada ya kuchanganyika vizuri....tia tube ya movate 1(kama hutaki kung'aa sana) na tube 2(kama unataka kunga'aa sana) kisha koroga mpaka uchanganyike na uone rangi imekuwa kijani angavu.

3. Malizia kuweka glycerine kisha funga mfuko halafu upige pige mfuko mpaka uhakikishe mchanganyiko wako umechanganyika vizuri.

4. Andaa vikopo vile vile ulivyotoa lotion kuwekea mkorogo wako.
Utoboe mfuko kwenye kona ili kumimina mchanganyiko wako kwenye vikopo.

5. Ukishauweka kwenye vikopo....uache kwa lisaa 1 ndipo uanze kupaka.

Paka mwili mzima, kuanzia usoni, tumboni, makalioni mpaka nyayoni.

NB:
Waweza tia glycerine yoyote kama utakosa ya alovera.
Ukipata glycerine ya Uganda itakuwa vizuri sana.

Mkorogo huu unaweza kuutumia wewe mwenyewe binafsi nyumbani au kibiashara.

Kama binafsi, kukata harufu ya lemon, tafuta majani ya mvuto tia mule na harufu itakata.

Kwa biashara, kadri inavyokaa ndivyo harufu inaisha.
Waweza paka mara 1 au 2 kwa siku.
Ila ni vizuri kupaka usiku ili asubuhi unaamka na kuoga kisha unapaka mafuta ya nazi tu na kuendelea na shughuli zako.

Paka mapajani, mikononi, usoni, kwenye vingwimba vya mikono na miguu. Hauna madhara hata 14+ anapaka.

Kama unahisi mwili wako una mabaka mabaka ya vipele au ya mbu, fuata hatua hizi:

Chukua mafuta ya nazi (hakikisha umetengeneza mwenyewe) vijiko 10, kisha chukua vijiko 3 vya asali tia katika mafuta yako ya nazi na uchanganywe.

Pakaa sehemu iliyoathirika na mabaka, ukishapaka kaa nayo dk 10 kisha bila kunawa paka huo mkorogo wako juu ya mwili wako.

Ndani ya siku 5-7 mabaka yatapotea na utapata weupe wa kuteleza.

Asanteni.
Nakaribisha maswali, ushauri, maoni n.k
Madame naomba darasa tafadhali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom