Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni

Rafu rafu

New Member
Mar 6, 2024
1
9
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
FB_IMG_1709750742793.jpg
 
Naitaji watu kama wewe nataka nifungue kiwanda kidogo cha usambazaji ila utakuwa chini yangu au kama meneja kama uko fresh njoo pm
 
Aisee jamaa yangu una bahati, sio rahisi kwako kuajiliwa kindezi, ukijichetua kidogo tu hapo mtaani kwako unatusua.

Nakumbuka kuna mzee alikua anatuuzia sabuni za mawingu( kule kwetu tunaziita za magadi), anazungusha madukani na majumbani kwa bei ya jumla.

Huyo ni mzee wa miaka kama 55-60 hivi, kijana wangu ujuzo wote huo ni ajabu kidogo kulalamikia mtaji labda kama pesa ya kusogeza siku uko nayo.
 
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
View attachment 2926517
Techinolojia ta kuzalisha sabuni ni moha ya Techinolojia rahisi sana, sio ajabu wewe kujua,
 
Hongera sana ndugu yangu
Kwanza usianze na bidhaa nyingi anza na sabuni za kipande kwanza na ninauhakika mtaji hauzidi laki moja
anza mdogo mdogo huku ukiwa na malengo ya kufika mbali, wengi tumeanzia huko mpaka sasa tumeongeza some % ya ajira kwa vijana

usikate tamaa kizembe weka malengo yanayofilika na timeframe usijiendee endee tu
kuna msemo naupendaga sana unasema If you dont know where to go any road will take you there

all the best
 
Embu niachie namba yako PM au njoo PM tumalize kibingwa boss .
Kwa huo ujuzi naogopa hata kusema uwe chini yangu itabidi nitoe mtaji ila uwe boss wangu maana nikikuudhi haukawii kuondoka na maarifa yako.
 
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
View attachment 2926517
Karibu uje ufundishe vikundi vya akina mama na vijana. Nitafute kwa maelezo zaidi 0752042570
 
Back
Top Bottom