Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

Si lazima iwe BankABC.
Waweza tumia Equity / CRDB / UBA / etl
Angalia ni benk ipi ipo eneo husika , nenda kaulize huduma
Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sihitaji Visa card ambayo imeunganishwa na account yangu, nilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki ambayo benki zingine zinafanya hivyo.
 
Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sihitaji Visa card ambayo imeunganishwa na account yangu, nilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki ambayo benki zingine zinafanya hivyo.
Hata Mimi hiyo ya BancABC naona ni nzuri zaidi kwasababu inakuweka salama na taarifa zako za akaunti ya benki.
Na hii unaweza ukatop up pale unapohitaji kufanya transaction nimeipenda ntaitafuta
 
nilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki
Nimekuelewa vyema

Si kweli kuwa ni benki ABC pekee inayotoa cash card,

Zipo pia benk zingine kama Equity , UBA, hata NMB kwa sasa, unapewa card ndani ya dakika chache baada ya kujaza fomu

Ndio sababu nilishauri angalia benki iliyo karibu nawe.
 
Pindi uchukuapo kadi mhudumu atakwambia iko tayari kwa matumizi.

Ila kimsingi huwa bado hawajafanyia activation upande wa online transaction

Hivyo rudi kwenye tawi husika waeleze kuwa unashindwa kufanya transaction, Watachukua kadi yako na watafanya mawasiliano na kitengo husika.

Baada ya dakika chache utarudishiwa kadi na itakuwa tayari kwa matumizi.

Kwa kujiridhisha jaribu kui_add kadi paypal ukiwa bado hujaondoka.

Ni uzembe wao kutokamilisha taratibu zote awali pindi unakabidhiwa kadi, ukizingatia ulishaomba wafanyie activation online transaction.
Nashukuru mkuu imeshakubali ku link na paypal na purchase nkafanya bila kujaza verification code vip itakuwa na usumbufu wowote bila kuijaza hyo code??
 
Nashukuru mkuu imeshakubali ku link na paypal na purchase nkafanya bila kujaza verification code vip itakuwa na usumbufu wowote bila kuijaza hyo code??
Haina usimbufu. Wowote.

Karibu
 
Naomba kujuzwa wadau,delivery ya mzigo uliokwisha lipia inakuaje kwa mimi wa mkoani?Na kwa nini kwa kitumia kadi za viza ambazo zina link na account yako inasemekana sio nzuri kwakuwa unakuwa ume expose acc.details zako,ina maana hawa ebay na wengineo hawaaminiki kiasi hicho?
 
Hiyo top up kwa njia ya simu hela inaingia kwenye account gani kama hauna account kwenye Bank ya BancABC ?
- Kwanza ni lazima uwe na bank account au cash card( Bila ya bank account) katika benki husika ndipo utaweza kutumia mobile service waliyo nayo. Kwa kutumia menu ya mpesa au tigo pesa kuna orodha ya benki zaidi ya ishirini, hivyo utaangalia benki yako kwenye hiyo orodha.
- Hivyo pasipokuwa na account au cash card hutoweza kutumia hizi Bank mobile service kutuma fedha benki.

Najua kawaida card huwa wanalink na account ya bank hapa sijaelewa kabisa.
- Kwa upande mmoja upo sahihi. Card ya benki huwa iko linked na account ya benki.
- Ila kwa sasa benki zimeleta hizi "cash Card" ambapo wewe unanunua cardi, unaweka fedha na kufanya miamala pasipo kuwa na account ya huduma za kifedha katika hiyo benki.
- Fomu ujazayo pindi unataka Card pekee ni tofauti na fomu ujazayo pindi unapotaka kufungua account ambayo itaambatana na card ya benki.

Pia unaangalia vipi salio katika card yako?
- Utaingia kwenye menu ya huduma ya kibenki katika simu yako kutegemea na benki husika ili kuangalia salio kwa kutumia USSD codes za benki hiyo.
- Mfano CRDB simbanking unapiga *150*03# then fuata maelekezo waweza kuangalia salio na kufanya miamala kupitia simu yako.
- Kwa NMB Mobile piga *150*66# pia hapo utafuata maelekzo ya huduma ya kibenki unayotaka.
Mwl. Msaada wako lazima niconfirm kad ya bank baada ya kuilink na pay pal ili niweze kuitumia je kama unatumia kaz ya Equity nawezaje kupata zile code za kuconfirm.. Nazipataje na wapi baada ya PayPal kukata ile dollar 1.8...
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Nazipataje na wapi baada ya PayPal kukata ile dollar 1.8...
Nenda tawi la benki kalibu nawe - omba account statement utazona codes husika kwenye huo muamala wa 1.8usd
Mwl. Msaada wako lazima niconfirm kad ya bank baada ya kuilink
Si lazima ,kikubwa ni kufanikiwa ku_link card husika.
Fanya manunuzi na muamala utakamilika bila tatizo.
Zoezi la ku_confirm kadi utafanya wakati wowote.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Nenda tawi la benki kalibu nawe - omba account statement utazona codes husika kwenye huo muamala wa 1.8usd

Si lazima ,kikubwa ni kufanikiwa ku_link card husika.
Fanya manunuzi na muamala utakamilika bila tatizo.
Zoezi la ku_confirm kadi utafanya wakati wowote.
Baada ya kufanya transaction nawezaje kuangalia statement za online transaction.. Kwa bank ya Equity mkuu samahan kwa maswal kidogo. Au app ya Ezzy247. Inaonyesha pia.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Baada ya kufanya transaction nawezaje kuangalia statement za online transaction.
Baada ya kufanya manunuzi
- Utapokea sms - ikiwa na taarifa zote muhimu kuhusu huo muamala
- Pia ukiangalia kwenye app utaona muamala husika.
Au app ya Ezzy247. Inaonyesha pia.
Taarifa utakayopata ni kiasi cha fedha kilichokatwa
Ukiitaji details zaidi ya hayo malipo
- Ingia paypal na click muamala husika
- Pia waweza kwenda benki na kuomba account statement
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Baada ya kufanya manunuzi
- Utapokea sms - ikiwa na taarifa zote muhimu kuhusu huo muamala
- Pia ukiangalia kwenye app utaona muamala husika.

Taarifa utakayopata ni kiasi cha fedha kilichokatwa
Ukiitaji details zaidi ya hayo malipo
- Ingia paypal na click muamala husika
- Pia waweza kwenda benki na kuomba account statement
Shukrani
 
Kwa sasa wanafanya kwa tsh 15'000, badala ya kiwango cha awali cha 5'000.

itagata , uzuli wa bankABC utaweza anza kuitumia kadi yako ndani ya dk.30 baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu. Na kuweka kiasi unachotaka kutumia.
cards.jpg

Card #1: Ni ya dola - Nilinunua kwa usd 20. Sina hakika kama bei yake imebadilika au imebakia bei ya awali, Sikuuliza pindi na re_new card ya TSH.

Card #2: Nilinunua kwa tsh 5'000 - imeisha muda wake tangu feb. 2016.

Card #3: Nimeichukua january mwaka huu. Waliniuzia kwa tsh 15'000

NB: Kadi ya dola huwa siitumii, Sababu ni lazima ufike kwenye tawi lolote la BankABC ili ufanye Top Up. Huwezi kutumia mobile service. System yao hairuhusu kufanya top up kwa njia ya simu.

Wakati kwa kadi ya TSH waweza fanya top up kwa kutumia Tigo pesa na mpesa - Hivyo hii imekua huduma rafiki kwangu.
Hivi mkuu kati ya Card ya usd na ya Tsh ipi ina makato madogo? nauliza hivyo kwa sababu nilikuwa na card ya usd sasa unakuta nimedeposit $100 lakini nakuta nina $70, mpaka ikabidi niachane nao niende equity, makato yao sikuyaelewa, hebu nifafanulie kidogo
 
nauliza hivyo kwa sababu nilikuwa na card ya usd sasa unakuta nimedeposit $100 lakini nakuta nina $70,
Inatakiwa ufahamuaina tofauti tofauti account katika benki husika.
Kuna account zenye makato na accountzisizo na makato.
Pitaia hii thread:
Hivyo fanya uchaguzi sahihi wa benki na aina ya account unayohitaji.
Hivi mkuu kati ya Card ya usd na ya Tsh ipi ina makato madogo?
Sio card ya USD au TZS.
Bali unatakiwa kujua nia aina gani ya account yenye makato kidogo aua isiyo na makato kabisa.
 
huwezi kuzifuta hizo email zilizojaa?

kama wanataka visa paypal haina haja hapo nenda bancABC ipo kkoo mtaa wa msimbazi kama unaenda Fire kanunue kadi ya visa 5,000 tu bila kufingua acount jaza hela kwa kutumia tigo pesa au mpesa halafu fanya manunuzi
Hivi bancABC naweza ipata mkoani.?
 
Back
Top Bottom