itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 210
- 71
Habari wadau,
Akaunti yangu ya Gmail imejaa na nataka kuongeza plan kwa kuilipia ili niendelee kupata huduma, tatizo ni kuwa njia za kulipia wanaonesha nilipe kwa VISA tatizo ni kuwa sina uzoefu na huduma za VISA. naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu juu ya hili ili niweze kufanikisha kulipia.
Asanteni