Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

Una uhakika kuwa umejaza 15 GB zote kwa kutumia email?
Google account inashare space kati ya gmail, photos, drive etc.
Sio rahisi kujaza 15GB kwa email tu maana email zina limit ya 25 MB each na majority ya email haziwezi kugusa 25 MB.
 
ndio utalipa na ya shilingi sema wataconvert kwenda dola kupitia viwango vya siku uliyolipia
Najaribu kuconnect card na PayPal, na scan vizuri tu...Ila mwisho inagoma.. Where am I wrong?
 
unascan nini? unatakiwa uadd card eka details zako watakata hela utatumiwa sms ya kodi ya paypal ijaze kuconfirm
 
Natumia app ya PayPal..so na scan card kutumia camera.. Nikisha jaza details za expiration date na pin, napata ujembe kwamba " card denied by issuer"
 
Nenda site ya PayPal link card yako kwa kujaza details husika acha hizo habari za apps sijui..ingia kweny web
 
Okay.. That done.. Nimesha link card na imekubali.. Sioni option yakutoa pesa kutoka kwenye card to PayPal..
 
Hupaswi kufanya hivyo, balance paypal itaendelea kuwa $0.00 USD.

Unaweza kununua na kulipia huduma na makato yanafanyika moja kwa moja kwenye kadi yako.
paypal.jpg
 
cards.jpg

Card #1: Ni ya dola - Nilinunua kwa usd 20. Sina hakika kama bei yake imebadilika au imebakia bei ya awali, Sikuuliza pindi na re_new card ya TSH.

Card #2: Nilinunua kwa tsh 5'000 - imeisha muda wake tangu feb. 2016.

Card #3: Nimeichukua january mwaka huu. Waliniuzia kwa tsh 15'000

NB: Kadi ya dola huwa siitumii, Sababu ni lazima ufike kwenye tawi lolote la BankABC ili ufanye Top Up. Huwezi kutumia mobile service. System yao hairuhusu kufanya top up kwa njia ya simu.

Wakati kwa kadi ya TSH waweza fanya top up kwa kutumia Tigo pesa na mpesa - Hivyo hii imekua huduma rafiki kwangu.

Hiyo top up kwa njia ya simu hela inaingia kwenye account gani kama hauna account kwenye Bank ya BancABC ? Najua kawaida card huwa wanalink na account ya bank hapa sijaelewa kabisa.Pia unaangalia vipi salio katika card yako?
 
Hiyo top up kwa njia ya simu hela inaingia kwenye account gani kama hauna account kwenye Bank ya BancABC ?
- Kwanza ni lazima uwe na bank account au cash card( Bila ya bank account) katika benki husika ndipo utaweza kutumia mobile service waliyo nayo. Kwa kutumia menu ya mpesa au tigo pesa kuna orodha ya benki zaidi ya ishirini, hivyo utaangalia benki yako kwenye hiyo orodha.
- Hivyo pasipokuwa na account au cash card hutoweza kutumia hizi Bank mobile service kutuma fedha benki.

Najua kawaida card huwa wanalink na account ya bank hapa sijaelewa kabisa.
- Kwa upande mmoja upo sahihi. Card ya benki huwa iko linked na account ya benki.
- Ila kwa sasa benki zimeleta hizi "cash Card" ambapo wewe unanunua cardi, unaweka fedha na kufanya miamala pasipo kuwa na account ya huduma za kifedha katika hiyo benki.
- Fomu ujazayo pindi unataka Card pekee ni tofauti na fomu ujazayo pindi unapotaka kufungua account ambayo itaambatana na card ya benki.

Pia unaangalia vipi salio katika card yako?
- Utaingia kwenye menu ya huduma ya kibenki katika simu yako kutegemea na benki husika ili kuangalia salio kwa kutumia USSD codes za benki hiyo.
- Mfano CRDB simbanking unapiga *150*03# then fuata maelekezo waweza kuangalia salio na kufanya miamala kupitia simu yako.
- Kwa NMB Mobile piga *150*66# pia hapo utafuata maelekzo ya huduma ya kibenki unayotaka.
Hiyo top up kwa njia ya simu hela inaingia kwenye account gani kama hauna account kwenye Bank ya BancABC ? Najua kawaida card huwa wanalink na account ya bank hapa sijaelewa kabisa. Pia unaangalia vipi salio katika card yako?
 
Hiyo top up kwa njia ya simu hela inaingia kwenye account gani kama hauna account kwenye Bank ya BancABC ?
- Kwanza ni lazima uwe na bank account au cash card( Bila ya bank account) katika benki husika ndipo utaweza kutumia mobile service waliyo nayo. Kwa kutumia menu ya mpesa au tigo pesa kuna orodha ya benki zaidi ya ishirini, hivyo utaangalia benki yako kwenye hiyo orodha.
- Hivyo pasipokuwa na account au cash card hutoweza kutumia hizi Bank mobile service kutuma fedha benki.

Najua kawaida card huwa wanalink na account ya bank hapa sijaelewa kabisa.
- Kwa upande mmoja upo sahihi. Card ya benki huwa iko linked na account ya benki.
- Ila kwa sasa benki zimeleta hizi "cash Card" ambapo wewe unanunua cardi, unaweka fedha na kufanya miamala pasipo kuwa na account ya huduma za kifedha katika hiyo benki.
- Fomu ujazayo pindi unataka Card pekee ni tofauti na fomu ujazayo pindi unapotaka kufungua account ambayo itaambatana na card ya benki.

Pia unaangalia vipi salio katika card yako?
- Utaingia kwenye menu ya huduma ya kibenki katika simu yako kutegemea na benki husika ili kuangalia salio kwa kutumia USSD codes za benki hiyo.
- Mfano CRDB simbanking unapiga *150*03# then fuata maelekezo waweza kuangalia salio na kufanya miamala kupitia simu yako.
- Kwa NMB Mobile piga *150*66# pia hapo utafuata maelekzo ya huduma ya kibenki unayotaka.

Asante sana kwa maelezo mazuri nimeelewa.Hii thread imenifurahisha sana sikujua kama kuna kitu kama hiki.
 
kuna njia rahisi sana ya kupata cash card toka banc abc;
1. andika neno Visa kisha acha nafasi halafu andika sehemu ulipo. mfano: Visa Geita.
2. tuma jina la posta iliyo karibu nawe. mfano Posta Mzumbe.
3. kisha tuma neno yes kisha na jina lako kamili. mfano: Yes Mike Massimba.
**Done**
NB: NAMBA YA KUTUMA NI 15774, NA HERUFI ZOTE ZA MWANZO WA NENO UTAKALOTUMA LAZIMA ZIWE KUBWA KAMA ILIVYO KWENYE MIFANO.
ENJOY GUYS.
 
Wana charges zozote kwa kutumia cash card zao
 
Back
Top Bottom