James St. Patrick
Senior Member
- Jun 23, 2011
- 167
- 66
hapo sina uhakika, manake nami ndio nmeomba kadi tuWana charges zozote kwa kutumia cash card zao
hapo sina uhakika, manake nami ndio nmeomba kadi tuWana charges zozote kwa kutumia cash card zao
Utakuwa umeijaza 'takataka' maana akaunti ya gmail mpaka ijae sio mchezo... Cha kufanya hamisha baadhi ya mafaili humo uyasevu kwenye google drive ili uweze ku free some space. Unless otherwise una pesa ya kuchezea...
Unajua Gmail akaunt ni kama tumbo la mama, ukisema mama aliyezaa mtoto mmoja na mama aliyezaa watoto kumi kwa nini tumbo lake halikujaa, ni kwa sababu mtoto akishamaliza miezi tisa, anazaliwa na anakuja mwingine. Sasa ukitaka umuhifadhi mtoto milele, tumbo litajaa. Like wise email. Ilie ni chombo cha kupitishia taarifa ila wengine ndio wanataka wafanye storage... Kama vip unanunua external na kusave zile kazi ambazo unazihitaji then gmail yako inakuwa free...Gmail kujaa ni easy sana tena ikiwa na vitu vya msingi tu .. Mimi ishanitokea hii Ikabidi nilipie ... Nikupe mfano wa mtu anayepokea reports za mauzo au stock movement Kutoka sales point mbali mbali , report zikiwa mfumo wa excel na zina update kila siku baada ya miezi kadhaa Gmail inajaa ..... !!
Ni suala la kawaida inategemea na wewe unafanya kazi gani au unatumiaje email yako
Mkuu unaweza kusaidia keeleza hatua kwa hata toka kulipia visa card mpaka kufanya malipo online?unananunua kokote duniani visa ni visa haijalishi ni ya benki gani
Unajua Gmail akaunt ni kama tumbo la mama, ukisema mama aliyezaa mtoto mmoja na mama aliyezaa watoto kumi kwa nini tumbo lake halikujaa, ni kwa sababu mtoto akishamaliza miezi tisa, anazaliwa na anakuja mwingine. Sasa ukitaka umuhifadhi mtoto milele, tumbo litajaa. Like wise email. Ilie ni chombo cha kupitishia taarifa ila wengine ndio wanataka wafanye storage... Kama vip unanunua external na kusave zile kazi ambazo unazihitaji then gmail yako inakuwa free...
mkuu unaenda tu bancABC waambie unataka visa card jaza fomu utapewa kadi yako ieke salio nenda website unayotaka kununua kitu jaza detail husika halafu nunua. si ngumu kabisa anza process za kutafuta visa card kwanza hayo mengine yatakuja taratibuMkuu unaweza kusaidia keeleza hatua kwa hata toka kulipia visa card mpaka kufanya malipo online?
Shukrani mkuu, mpaka hapo nimekusoma.mkuu unaenda tu bancABC waambie unataka visa card jaza fomu utapewa kadi yako ieke salio nenda website unayotaka kununua kitu jaza detail husika halafu nunua. si ngumu kabisa anza process za kutafuta visa card kwanza hayo mengine yatakuja taratibu
Asante kaka, ni bancABC peke yake tu au pia kuna benki zingne? nauliza hivi kwa sababu nipo mkoani ambako hakuna hilo tawi la bancABC.
Unatumia bank gani ndugu? Mimi ninatumia CRDB,ninakumbuka it was July 2013 nilinunua product flani hivi Ebay via Paypal,ikaibiwa Kenya.So,seller alijaribu ku-refund system ikagoma.So,the only option we had ilimbidi seller atume tena product nyingine.Mpaka sasa CRDB hata ukinunua kitu kwa kutumia Debit Card then mambo yakienda sivyo hawana automatic refund mpaka upige trips za kutosha kwenda Kwenye matawi yao with printed evidence(japo ninaridhika na baadhi ya huduma zao).Vipi mwenzetu watumia Bank gani inayoruhusu direct refund from PayPal? tujuze kidogo ndugu.Inategemea na sera za benki unayotumia.
Mimi ilitumia wiki 2.
Unatumia bank gani ndugu? Mimi ninatumia CRDB,ninakumbuka it was July 2013 nilinunua product flani hivi Ebay via Paypal,ikaibiwa Kenya.So,seller alijaribu ku-refund system ikagoma.So,the only option we had ilimbidi seller atume tena product nyingine.Mpaka sasa CRDB hata ukinunua kitu kwa kutumia Debit Card then mambo yakienda sivyo hawana automatic refund mpaka upige trips za kutosha kwenda Kwenye matawi yao with printed evidence(japo ninaridhika na baadhi ya huduma zao).Vipi mwenzetu watumia Bank gani inayoruhusu direct refund from PayPal? tujuze kidogo ndugu.
Kama sisi organization yetu tunatumia outlook. Email za gmail na yahoo ni nadra sana.Huwezi ku save kwenye external na zikawa reliable ,, Kwa mfano niliokupa na Kwa business context email zinakuwa Kama evidence ,, siyo vizuri ku delete au ku manipulate business email Kwa sababu hatuaminiani .. Ndo maana hata file hard copy huwa hazitupwi mpaka ufike mda flan vivyo hivo Kwa email .... Watu wa finance /procurement / sales etc wanajua hili ..
Mtu anaweza kukugeuka anytime na usimfanye chochote maana huna evidence ya ku refer but Kama email zipo ni easy sana .
Hii ni sababu mojawapo Kwa nn makampuni binafsi yanatumia outlook /email na server zao ...
![]()
Card #1: Ni ya dola - Nilinunua kwa usd 20. Sina hakika kama bei yake imebadilika au imebakia bei ya awali, Sikuuliza pindi na re_new card ya TSH.
Card #2: Nilinunua kwa tsh 5'000 - imeisha muda wake tangu feb. 2016.
Card #3: Nimeichukua january mwaka huu. Waliniuzia kwa tsh 15'000
NB: Kadi ya dola huwa siitumii, Sababu ni lazima ufike kwenye tawi lolote la BankABC ili ufanye Top Up. Huwezi kutumia mobile service. System yao hairuhusu kufanya top up kwa njia ya simu.
Wakati kwa kadi ya TSH waweza fanya top up kwa kutumia Tigo pesa na mpesa - Hivyo hii imekua huduma rafiki kwangu.
Ahsante kwa mrejesho.Asante kwa maelezo yako.Nimefanikiwa kupata Cash Card yangu kutoka BankABC na nimeshalink na Paypal na kufanya manunuzi online.Kwa kweli hii Card ni nzuri sana hasa kujaza salio kwa MPESA.
Wanakata yote. Hakuna salio wanalo rudisha.
habari yako mkuu, samahani kwa usumbufu jana tar 08/12/2016 nimetoka kuchukua visa card ya bank ABC nimeweka na kama 30000 hivi wakanambia baada ya masaa mawili naweza kutumia ila mpaka sasa masaa 24 ina goma ku link na paypal wanasema "This card cannot be used please use another card".Wanakata yote. Hakuna salio wanalo rudisha.
Binafsi sikufanikiwa kabisa kupata maana niko mkoani na huku hakuna tawi la Banc ABC ambao ndio wanatoa hizo kadihabari yako mkuu, samahani kwa usumbufu jana tar 08/12/2016 nimetoka kuchukua visa card ya bank ABC nimeweka na kama 30000 hivi wakanambia baada ya masaa mawili naweza kutumia ila mpaka sasa masaa 24 ina goma ku link na paypal wanasema "This card cannot be used please use another card".
vip wew uli fanyaje had ika kubali??. samahani kwa usumbufu mkuu nahitaji msaada wako.thanx
Pindi uchukuapo kadi mhudumu atakwambia iko tayari kwa matumizi.visa card ya bank ABC nimeweka na kama 30000 hivi wakanambia baada ya masaa mawili naweza kutumia ila mpaka sasa masaa 24 ina goma ku link na paypal wanasema "This card cannot be used please use another card".
Si lazima iwe BankABC.Binafsi sikufanikiwa kabisa kupata maana niko mkoani na huku hakuna tawi la Banc ABC ambao ndio wanatoa hizo kadi