Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

Hizi simu za goroka / batani wanauza kwa katoni ndo kitonga ila pcs utaumizwa bei.

Watz ni wagumu sana kutoa connection za nje China na Dubai wanapo chukua kwa mafungu
 
Shida sio connection mkuu

Kwa mawazo yangu naona mtoa uzi na watu wengi wanaotaka u argent kwa bei walizotaja bado hawana uzoefu wa kutosha kwenye biashara hiyo hivyo wanapaswa kwanza kuunganishwa na ma argent wa Tanzania ili wapate mizigo kwa bei nzuri na uzoefu kabla ya ku jump kwenye u argent

Kwanza kabisa unapaswa kujua hizi simu za tecno, infinix na itel zinatengenezwa China lakini haziuzwi China.

Yani ni simu ndogo, za kiwango cha chini zinatengenezwa na kutoka viwandani direct to Africa
Huwezi kukuta itel, tecno, infinix inauzwa dukani China.
Hivyo basi ni lazima unununue kiwandani

Ili ununue simu hizo kiwandani unatakiwa uwe argent.

Ili uwe argent unatakiwa utimize vigezo pamoja na mengine ni

Kwanza ;Kuwa na mtaji 500Ml - 1B kutegemea na kampuni husika.

Pili; kuwa/ kupendekeza kanda mkoa ambao unataka kuhudumia (kama kuna argent mwingine kanda/mkoa huo unaweza usipewe)

Tatu; Uwezo wa kuuza wateja wako/ uwezo wako wa kuuza na kuagiza mzigo ukoje.

Ni muhimu kufahamiana na ma argent kwasababu hao ndio wenye uwezo wa kukuunganisha na huwa wana vikao vyao na makampuni husika mara kwa mara.

Wenye ujuzi zaidi wanaweza kunirekebisha au kuongezea uzoefu.
 
Yaap ni kweli afate ushauri huu, aombe mtu amunganishe na Agent DSM kama ni techno, itel wapo DSM, awe na mtaji tu wa kuchukua box nzima/ caton.
 
Shida sio connection mkuu

Kwa mawazo yangu naona mtoa uzi na watu wengi wanaotaka u argent kwa bei walizotaja bado hawana uzoefu wa kutosha kwenye biashara hiyo hivyo wanapaswa kwanza kuunganishwa na ma argent wa Tanzania ili wapate mizigo kwa bei nzuri na uzoefu kabla ya ku jump kwenye u argent

Kwanza kabisa unapaswa kujua hizi simu za tecno, infinix na itel zinatengenezwa China lakini haziuzwi China.

Yani ni simu ndogo, za kiwango cha chini zinatengenezwa na kutoka viwandani direct to Africa
Huwezi kukuta itel, tecno, infinix inauzwa dukani China.
Hivyo basi ni lazima unununue kiwandani

Ili ununue simu hizo kiwandani unatakiwa uwe argent.

Ili uwe argent unatakiwa utimize vigezo pamoja na mengine ni

Kwanza ;Kuwa na mtaji 500Ml - 1B kutegemea na kampuni husika.

Pili; kuwa/ kupendekeza kanda mkoa ambao unataka kuhudumia (kama kuna argent mwingine kanda/mkoa huo unaweza usipewe)

Tatu; Uwezo wa kuuza wateja wako/ uwezo wako wa kuuza na kuagiza mzigo ukoje.

Ni muhimu kufahamiana na ma argent kwasababu hao ndio wenye uwezo wa kukuunganisha na huwa wana vikao vyao na makampuni husika mara kwa mara.

Wenye ujuzi zaidi wanaweza kunirekebisha au kuongezea uzoefu.
Hii ndio ilitakiwa kuwa comment ya kwanza kabisa. Asante sana chief. Tumepokea, tunaahidi na tutatekeleza.
 
Hivi namna ya kuzisafirisha hizi Simu ipoje? Ni meli au Ndege?

Bei inategemea unanunua wapi
bei ya Nairobi na Dar ni tofauti

Mfano
Dar Hot 10 lite 225,000 kwa Pc
Nairobi 215,000 kwa Pc
 
Shida sio connection mkuu

Kwa mawazo yangu naona mtoa uzi na watu wengi wanaotaka u argent kwa bei walizotaja bado hawana uzoefu wa kutosha kwenye biashara hiyo hivyo wanapaswa kwanza kuunganishwa na ma argent wa Tanzania ili wapate mizigo kwa bei nzuri na uzoefu kabla ya ku jump kwenye u argent

Kwanza kabisa unapaswa kujua hizi simu za tecno, infinix na itel zinatengenezwa China lakini haziuzwi China.

Yani ni simu ndogo, za kiwango cha chini zinatengenezwa na kutoka viwandani direct to Africa
Huwezi kukuta itel, tecno, infinix inauzwa dukani China.
Hivyo basi ni lazima unununue kiwandani

Ili ununue simu hizo kiwandani unatakiwa uwe argent.

Ili uwe argent unatakiwa utimize vigezo pamoja na mengine ni

Kwanza ;Kuwa na mtaji 500Ml - 1B kutegemea na kampuni husika.

Pili; kuwa/ kupendekeza kanda mkoa ambao unataka kuhudumia (kama kuna argent mwingine kanda/mkoa huo unaweza usipewe)

Tatu; Uwezo wa kuuza wateja wako/ uwezo wako wa kuuza na kuagiza mzigo ukoje.

Ni muhimu kufahamiana na ma argent kwasababu hao ndio wenye uwezo wa kukuunganisha na huwa wana vikao vyao na makampuni husika mara kwa mara.

Wenye ujuzi zaidi wanaweza kunirekebisha au kuongezea uzoefu.
Kumbe !

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi namna ya kuzisafirisha hizi Simu ipoje? Ni meli au Ndege?
Njia zote zinatumika mkuu,
Wapo wanaotumia meli na wanaotumia ndege.

Inategemea
1.Una uharaka kiasi gani na mzigo
2.Faida ya mzigo ikoje
Kwasababu ndege ni gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom