Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

Mkuu unapigwa hizi hapa bei ya Dodoma

Itel 2160 _16500

Tecno
301 _21500
313 _25500
474_35000
351_26500
528_42000

Sasa mkuu kama dodoma ndo bei hiyo jumla kwa dar naamini itakuwa chini kidogo ila ijumaa naenda dar toka dom nampango wa kwenda kununua simu na tv za jumla ndakupa mrejesho
Vipi bei ya Arusha mkuu hasa memorycards 128mb
 
Boss wa simu k'koo ni Erasto, ukipata mtu anaeaminika akakupeleka kwake, unapewa mzigo hata wa mali kauli. Jamaa ni agent. Maduka mengi ya jumla k'koo wanachukua simu kwake,
 
Mkuu unapigwa hizi hapa bei ya Dodoma

Itel 2160 _16500

Tecno
301 _21500
313 _25500
474_35000
351_26500
528_42000

Sasa mkuu kama dodoma ndo bei hiyo jumla kwa dar naamini itakuwa chini kidogo ila ijumaa naenda dar toka dom nampango wa kwenda kununua simu na tv za jumla ndakupa mrejesho
Mkuu type mrejesho
 
Boss wa simu k'koo ni Erasto, ukipata mtu anaeaminika akakupeleka kwake, unapewa mzigo hata wa mali kauli. Jamaa ni agent. Maduka mengi ya jumla k'koo wanachukua simu kwake,
Ukisema boss wa simu sidhani kama ni sahihi
Erasto ana simu zake hawezi kuwa na kila aina ya simu

Kuna wakati Erasto anaweza asiwe na mzigo lakini Amadoo na Isack wakawa nazo
Hao wote ni ma argent.
 
Arasto pia anapelekewa mzigo na muhindi anaitwa mzee ibrahim na wachina
Hii inaitwa connection juu ya connection mtoa mada ingia alibaba search hizo simu utapata tuuh main source pia usisahau kuhakiki hicho kiwanda kupitia balobalozi China zilizopo hpa nchin.

Kwa uzoefu wangu simu nying za button hasa techno na itel kiwanda order huanzia PC 3000 n bei yake huwa 7500_9000 kwa moja kma utachukua PC 3000
Ingia alibaba vipo viwanda.
 
Bora uagize China Tu, kama mtaji mdogo unaunganisha na watu baadhi sema inabd utilize kichwa kidog , badae unapiga super profit , faida ya 2000 kwenye simu ni miyeyusho
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom