Msaada: jina zuri kati ya haya

Msaada: jina zuri kati ya haya

Muite “Jayson”
Jayson means “to heal”.

Au Godson...very simple and good name

Ni ngumu sana kuchangua jina la mwanao, lakini hayo majina mlopendekeza achanen nayo

Mnipe pia shukrani sasa..navyowajua mtamuita Jayson
 
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Zuri kwangu sio lazima liwe zuri kwako nyie chagueni jina mnalopenda mbn Jambo dogo Sana?
 
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Chukua ayo majina alaf ufanye ka unamuita x3 kwa kila jina utakalo muita akatabasam bas mpeni hilo hilo
 
Yan unabeba mimba miez 9 had unajifungua ujajua tu mtoto utamuita nani kweli!?
Inatokea asee unachanganyikana hadi unashindwa kufanya maamuzi....hata mimi nlikua nauliza watu nimuite nani mwanangu 😁, nlikua nakusanya maoni
Ramona (mona) au Raniah, bahati mbaya hata hajaitwa hayo, Ramona lilikua jina la ndoto yangu
 
Muite “Jayson”
Jayson means “to heal”.

Au Godson...very simple and good name

Ni ngumu sana kuchangua jina la mwanao, lakini hayo majina mlopendekeza achanen nayo

Mnipe pia shukrani sasa..navyowajua mtamuita Jayson
Asante sana ilo jayson limekaa pouwa
 
Inatokea asee unachanganyikana hadi unashindwa kufanya maamuzi....hata mimi nlikua nauliza watu nimuite nani mwanangu 😁, nlikua nakusanya maoni
Ramona (mona) au Raniah, bahati mbaya hata hajaitwa hayo, Ramona lilikua jina la ndoto yangu
Aise Pole sana ukipata mwingne tena muite hilo jina.
 
Back
Top Bottom