Msaada: jina zuri kati ya haya

Msaada: jina zuri kati ya haya

Inatokea asee unachanganyikana hadi unashindwa kufanya maamuzi....hata mimi nlikua nauliza watu nimuite nani mwanangu 😁, nlikua nakusanya maoni
Ramona (mona) au Raniah, bahati mbaya hata hajaitwa hayo, Ramona lilikua jina la ndoto yangu
Hilo Raniah ndio lenyewe aisee, natamani mwanangu wa kike nimute Thalia! (Taliah) ila sometime kuna kajina flani amazing kananitangulia nafikiri ataitwa “Candice” sitaki watoto wawe na herufi za mbali sana. A-D hapo
 
Vitoto vyote vya kiume nchi hii vimepewa hili jina
Yani ikifika mwaka 2030 matokeo yote ya la 7 yatakuwa yamejaa...
Jayden Martin
Jayden Christopher
Jayden Rubizi
Jayden Mwakalima
Jayden Musyoka
Jayden Johnson
Jayden Karumuna
Jayden Steven

Hapo darasa zima wenye majina tofauti wawili tu 😂😂😂
 
Hehe wengi walilifahamu baada ya kuangalia The Karate Kid movie aliyoigiza Jaden Smith mtoto wa Will Smith enzi hizo akiwa cute boy, basi ndiyo wazazi wengi wakakwamia hapo.
Bahati mbaya kawa choko sahizi
 
Hilo jina limekuwa kama Toyota IST! Kila mtoto aliezaliwa ndani ya miaka hii mitano anaitwa jaden!

Hivi hamnaga majina mengine mpaka mtoto apewe jina la kihanisi la mtoto choko wa will smith?
Sema kweli? To be honest sijawahi kutana na ilo jina mtaani, ndugu, majirani & marafiki.
 
Sema kweli? To be honest sijawahi kutana na ilo jina mtaani, ndugu, majirani & marafiki.
Utakuwa unakaa mitaa ya uswahilini sana basi! Jimix kwenye mazingira ya watoto wa kishua kwenye ma malls yale na michezo na mikusanyiko yao utaliskia sana!

Kwa hapa dar ndio balaa!
 
Utakuwa unakaa mitaa ya uswahilini sana basi! Jimix kwenye mazingira ya watoto wa kishua kwenye ma malls yale na michezo na mikusanyiko yao utaliskia sana!

Kwa hapa dar ndio balaa!
Labda huko kwenu Dar.
 
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Huu ni uashamba kila muvi ukiangalia utampa jina mwanao😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom