Msaada: jina zuri kati ya haya

Msaada: jina zuri kati ya haya

Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.

Haya majina mnayo waita watoto mnajua maana zake kweli? Acheni kukopi jamani msije tuletea balaa kwenye hili taifa.

Kama hakuna majina ya kitanzania bora mtoto msimpe jina.
 
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Weee acha kuwasehemu y Mabeberuu
Kama wee ni Ngosha

Mpe jina la Kabula,Shomal
Misoji

Kama ni mchanga mpe Ngiwiramo
Inkundaa,

Kama ni mmasi mpe Nganashe ,Namayanii,Naishiye,kokoayi,Nalepo.

Niwaeli,ng
 
Asante sana ngoja tusubiri na wengine den tupige kura ikitokea likapendwa na wengi tunamwita Jaydan
Kama baba ake akiruhusu majina kama haya aitwe mtoto wake basi atakua amehisi huyo sio mtoto wake... ndio maana anaamua liwalo na liwe.
 
Inatokea asee unachanganyikana hadi unashindwa kufanya maamuzi....hata mimi nlikua nauliza watu nimuite nani mwanangu , nlikua nakusanya maoni
Ramona (mona) au Raniah, bahati mbaya hata hajaitwa hayo, Ramona lilikua jina la ndoto yangu
Jaman Ramona lilikuwa zuri sana very unique kwanini hukumuita Ramona jamani
 
Kama baba ake akiruhusu majina kama haya aitwe mtoto wake basi atakua amehisi huyo sio mtoto wake... ndio maana anaamua liwalo na liwe.
Yani nyie jamani majina mazuri mnayapiga vita hivi mnataka nini au ndomshazoea majina Kama Kadada, chausiku, shida, tabu Yani mnanipa kichaa
 
Jaden ni zuri "Mungu amesikia"
Mengine pia
Caleb/Kaleb_ "devotion to God"
Ari-"Lion of God"
Hongereni Mungu awatunzie kijana wenu.
 
Back
Top Bottom