Msaada: jina zuri kati ya haya

Msaada: jina zuri kati ya haya

Basi litafaa

sikuaga najua maana akee ila nikisikiaga hilo jina basi nareflect yule Jaden wa will smith

nikajua mayb ndo their rolimodo
Maana yake ndoimenifurahisha zaidi, maana mtoto mwenyewe kapatikana kwa maombi
 
Imagine mtu anatafuta jina la mtoto kwa kura za wanaJF
Jamani majina tumetafuta sisi tumependa majina manne ndomana nimeomba msaada tuchaguliwe moja zuri ili tusikie na maoni ya watu kwenye wengi Kuna mengi bila kuja huku nisingejua maana ya jina Jaden Ila kupitia jf leo nimejua maana yake, alafu nimeomba tu msaada mbona watu wenye upendo wananisaidia kuchagua wewe Kama huna jina ulilopenda pita hivi au kaa kimya siyo lazima unichagulie tusichoshane, watu wengine bwana mnapenda tu kuchafua uzi za watu hivi mpoje????!!!!!
 
Nimechafua uzi wako kivipi?

Halafu uzi ukishauweka jukwaani ni wa kwetu wote,sio wako
 
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Kumar ni jina zuri la kihindi muite hilo mkuu
 
Back
Top Bottom