Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,912
Mwite NENGA mafioso
Wazazi wa kidijitali utawaweza weweNimemind aisee kuona mtoto wa kiume anaenda kuitwa majina ya kindezi hayo, hata kama ni majina ya kiingereza mbona yapo yanayo sound ki masculine zaidi, etii lucious daah
Anapewa jina Kama username za JFMtoto wanampa jina utadhani wamem download


Halafu hakututaarifu wakati anaenda kutafuta huyo mtoto room kwakeYaani unazaa mtoto halafu jina la kumpa unaenda kuuliza watu, kidogo inashangaza!

Kila laheri mama J....lol ni jana tu mwanangu(wa miaka mitano)katuambia tukipata mdogo wake aitwe Jaydan halafu wao wafanane yaan,,,,hapa tuko na harakati za kumtafta Jaydan
I love youJaydan ni zuri zaidi....(kwangu mimi)
Hehe wengi walilifahamu baada ya kuangalia The Karate Kid movie aliyoigiza Jaden Smith mtoto wa Will Smith enzi hizo akiwa cute boy, basi ndiyo wazazi wengi wakakwamia hapo.Af sorry....
mbona wazaz wengi sana wanawaita watt wao Jaden
Muite Prince.... hayo majina ya Jaden yamekua mengi sana sijui nyuma yake kuna nn
Ahsante sana nakupenda pia kakaI love you
Tunatafutana kwenye majina tu, hii sio poa.Halafu hakututaarifu wakati anaenda kutafuta huyo mtoto room kwake![]()
Yes amuuite Nguniani(Majani ya maharage)KWANINI UTUMIE MAJINA YA KIZUNGUacha fikra za kitumwa
Mwite hata jina majani tanayokuzunguka au wadudu au hata mpe majina ya mboga za majani.....
miss chuga, yuko wapi miss chaga nmemmiss kinooma kapotea jukwaani et!!Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
Hilo jina limekuwa kama Toyota IST! Kila mtoto aliezaliwa ndani ya miaka hii mitano anaitwa jaden!Jaydan ni zuri zaidi....(kwangu mimi)
Mtoto choko yuleBasi litafaa
sikuaga najua maana akee ila nikisikiaga hilo jina basi nareflect yule Jaden wa will smith
nikajua mayb ndo their rolimodo
Kuna mtoto wa will smith chokoAf sorry....
mbona wazaz wengi sana wanawaita watt wao Jaden
Muite Prince.... hayo majina ya Jaden yamekua mengi sana sijui nyuma yake kuna nn
Jina mtoto muiteni Denzel ama Leslie, hilo jina la kichoko achaneni nalo! Fuxin JaydenJamani majina tumetafuta sisi tumependa majina manne ndomana nimeomba msaada tuchaguliwe moja zuri ili tusikie na maoni ya watu kwenye wengi Kuna mengi bila kuja huku nisingejua maana ya jina Jaden Ila kupitia jf leo nimejua maana yake, alafu nimeomba tu msaada mbona watu wenye upendo wananisaidia kuchagua wewe Kama huna jina ulilopenda pita hivi au kaa kimya siyo lazima unichagulie tusichoshane, watu wengine bwana mnapenda tu kuchafua uzi za watu hivi mpoje????!!!!!
Mtoto anaitwa licious jina la kishori kabisa hili! Hivi huyu ataweza kupambana na ukosefu wa ajira kweli huyu baada ya chuo?Hawajielewi hao. Kuanzia baba wa mtoto na mama yake.