Msaada: jina zuri kati ya haya

Msaada: jina zuri kati ya haya

Sasa wew ndo unamtafutia jina mtoto wa Dada yako mm nazan baba wa mtoto Ndio hutoa jina la mtoto tena kwa kufata la ukoooo au kwa lolote lenye maana nzur ata wanaume tumepungua Sana mmebak wavulana tu
 
HIVI U UNIQUE KWENYE MAJINA UNASAIDIAGA NINI...Ukimwita jina la kawaida ambalo ni fupi halikatishiki na watu wa jamii yetu...si inatosha...

Hilo jayden...kifupi chake ni jay...

Pili hayo majina yenu special yanapelekea kutuletea watoto laini laini...mtafuteni babu yake mzaa baba au mama wampe jina mtoto...

Achaneni na maisha ya kwenye tamthilia...
 
Muite kati ya haya
Wambura,Mwita,chacha,Manoni,Mwakipesile,warioba,Matiku,Gachuma,Keresa,Masanja,Matunge,Marwa.
 
Muite

Nsanzugwanko au ntibanzokinza au Nzabayanga

Usiniulize maana yake kwani hayo mengine huyajui maana zake naamini
 
Back
Top Bottom