Msaada jamani

Msaada jamani

mbalamula

Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
23
Reaction score
5
Poleni na kazi wanajamii,
Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu dipolama in environmental health science natafuta kazi za muda kwa yoyote anayeweza nisaidia anijuze jamani maana nimechoka kukaa home.Nina uzoefu wa kufundisha na nimewahi kufanya kazi kama medicalrepresentative ktk kampuni za dawa za wahindi na pia kwenye NGO.Sichagui kazi ilimradi iwe halali.
Ahsabnte kwa ushirikiano mwema.
 
Back
Top Bottom