Barnaba mbalale
Member
- Apr 4, 2014
- 55
- 6
Jamani naombeni mnishauri kuna msichana mzuri ameamia mtaani kwetu na huwa anakuja kuchota maji nyumbani tatizo nashindwa kumwambia naombeni ushauri wenu wana j.f

U gotta lov jf aisee.
hebu soma kwanza, umri ukifika shuleni mtafundishwa jinsi ya kumwambia
Unashindwa kumwambia nini?
dah,hawa watoto huku ni tatizo,embu kasome kwanza totoo...
kumwambia kama nampenda
Andika barua ya kurasa tatu halaf nenda kwa balozi wako akugongee mhuri,halaf nenda kwa wakili aithibitishe,mwisho rudisha kwa mtendaji wa kata baada ya hapo balozi ataagizwa amtafute huyo msichana amweleze shida yako kilaini!..loading error....
^^
Andika kwenye karatasi, akija kuchota maji, tumbukiza karatasi kwenye ndoo hafu ukimbie asione sura yako
^^
Andika barua ya kurasa tatu halaf nenda kwa balozi wako akugongee mhuri,halaf nenda kwa wakili aithibitishe,mwisho rudisha kwa mtendaji wa kata baada ya hapo balozi ataagizwa amtafute huyo msichana amweleze shida yako kilaini!..loading error....
Jamani naombeni mnishauri kuna msichana mzuri ameamia mtaani kwetu na huwa anakuja kuchota maji nyumbani tatizo nashindwa kumwambia naombeni ushauri wenu wana j.f
Okay...
Je umri wako ni miaka mingapi na wa binti ni miaka mingapi?
Kwa nini unadhani kuwa unampenda binti huyo na si binti mwingine?
Ni nini hatma ya mapenzi uyatakayo kwa binti huyo?