mpe 5000 mfumue
Jamani naombeni mnishauri kuna msichana mzuri ameamia mtaani kwetu na huwa anakuja kuchota maji nyumbani tatizo nashindwa kumwambia naombeni ushauri wenu wana j.f
mim nina miaka 18 binti anaendana na mim na nahic nampenda yeye 2 coz akili yang inamuwaza yeye tu,nataka 2 awe wang daima
Jenga mazoea ya karibu mfano;akija kuchota maji mulizemulize maswali ya kijinga jinga kama,daaah leo nakuona umechoka utaifikisha hayo maji kweli leo huku unajichekesha kidogo then unamwambia au nikusaidie akikubali unamsapiti kidogo ila usimwambie chochote unapiga story za kawaida fanya hivyo x2au3 atavutiwa na ww siku nyingine ukimsapoti tupia nduano isipotoka na samaki ww utakua domo zege.
Nilipe nikotongozee ukamle,kama ni mkali sana nakutongozea kwa bei ndogo,kama ni mbaya garama inaongezeka.
Haina haja ya ww kuhangaika,kama una pesa unalipa watu wanakufanyia kazi ww unaenda kufaidi.tuwasiliane.
hayuko khvo anahtaj technique's
unatishwa na sura ile kitu zipo sawa tu zinafanana kwa wote wenye nazo so tulia na wako
kumi na what?!..mh aya bhana
sikia.we we hujui kutongoza sio tu unashindwa kumwambia.so let me help u if u don't mind.nikufundishe kutongoza.mafunzo yatakua kama ifuatavyo.ntakua nakutongoza'wewe utacraime mane no yangu.utaleta mapozi kimtindo.ntaendelea kukuaproach mpaka utaponikubali.then utatumia experience hiyo ukamtongoze huyo unaemshindwa atakukbali lazma