Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Nina hili tatizo la muda mrefu la kurudia kwa mtoki wenye maumivu makali karibu kila mwaka.
Kuna wakati nashindwa hata kutembea maana umekaa sehemu mbaya.
Nikibonyeza naushika ila uko kwa ndani na ni kama jipu gumu linalouma kwa ndani.
Sina ugonjwa wowote wa zinaa wala maambukizi ya VVU.
Na wakati mwingine hupelekea kulala nikiwa nimepiga msamba kitandani ili kuepuka kujitonesha mtoki.
Madokta wa humu, naombeni msaada maana niliambiwa niweke barafu, nikaweka ila sijapata nafuu.
Na huwa unakuja karibu kila mwaka.
Unanisumbua karibu wiki 2 kisha unapotea wenyewe.
Picha ningetuma ila mtoki umekaa sehemu mbaya katika mwili wangu.
Ila kiukweli mtoki unauma sana jamani.