Barnaba mbalale
Member
- Apr 4, 2014
- 55
- 6
- Thread starter
- #41
Okay,
Malengo yako ya maisha ni yapi kwa sasa?
Je umemaliza masomo?
Kama ni ndio hapo juu, unafanya shughuli gani ya maendeleo?
Kijana maisha yetu yana nyakati mbalimbali, na kosa ambalo wengi wetu hufanya ni kujaribu kuharakisha baadhi ya mambo kabla ya wakati sahihi kutimia.
Mungu alivyoumba mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke dhumuni kubwa lilikuwa ni kuwaona wawili hawa wanafikia kilele cha mahusiano ambacho ni NDOA.
Pale juu nimekuuliza una malengo gani na binti huyo lakini ulikwepa kunijibu, hivyo bado napata shaka kama ubongo wako umekomaa kiasi cha kujua malengo ya mahusiano ya kimapenzi ni yapi.
mim naenda kuanza form 5 mwez wa 7 na nina malengo mengi tu juu yake ikiwezekana hata kumuoa