Barnaba mbalale
Member
- Apr 4, 2014
- 55
- 6
- Thread starter
- #21
Ukimwambia aneweza asikuamini kama unampenda..
mpe hela, we mpe hela tu mwenyewe ataelewa
kwan mapenz hela buana!
Ukimwambia aneweza asikuamini kama unampenda..
mpe hela, we mpe hela tu mwenyewe ataelewa
mim nina miaka 18 binti anaendana na mim na nahic nampenda yeye 2 coz akili yang inamuwaza yeye tu,nataka 2 awe wang daima
mim nina miaka 18 binti anaendana na mim na nahic nampenda yeye 2 coz akili yang inamuwaza yeye tu,nataka 2 awe wang daima
kumi na what?!..mh aya bhana
Okay kijana unawaza vyema na ni dalili njema kuwa vichocheo katika mwili wako vinafanya kazi barabara...
Kisheria umri ulionao ni sahihi kabisa kuanza kujihusisha na masuala ya mapenzi kwa hilo upo sahihi.
Shaka yangu sasa i juu ya umri wa binti maana kama wewe una umri huo, huyo binti je ana umri gani?
kwan mapenz hela buana!
Bila angalizo la umri hapa,tutapigana vikumbo na wanetu.
Ha ha ha ha "Hi...."akija kuchota maji msogelee na kumsalimia "Hi!"
Akijibu "Hi!" ujue amekubali. mbusu na kumkumbatia ukimshika kiunoni
Akijibu tofauti ujue amekukataa.
All the best
mim nina miaka 18 binti anaendana na mim na nahic nampenda yeye 2 coz akili yang inamuwaza yeye tu,nataka 2 awe wang daima
huyo binti umrì wake bdo cjafaham ila nahic atakuwa anaendana na mim au nimempta kidogo
mim nina miaka 18 binti anaendana na mim na nahic nampenda yeye 2 coz akili yang inamuwaza yeye tu,nataka 2 awe wang daima
Ukimwambia aneweza asikuamini kama unampenda..
mpe hela, we mpe hela tu mwenyewe ataelewa
Hahahaaa...
Demu akichomoa basi unamfungulia mashitaka ya kupuuza mamlaka zilizowekwa kisheria.
Ampe pocket money yake, hayo ndo makopa kopa yenyewe....Hela haitoe wapi ?mtu mwenyewe denti asije mkwapulia mama yake tu.
Ha ha ha ha "Hi...."
Hello!
Ndo umechomoa hivo? Lol.....