mazda

The Mazda Motor Corporation (Japanese: マツダ株式会社, Hepburn: Matsuda Kabushiki-gaisha) (commonly referred to as simply Mazda) is a Japanese multinational automaker based in Fuchū, Aki District, Hiroshima Prefecture, Japan.In 2015, Mazda produced 1.5 million vehicles for global sales, the majority of which (nearly 1 million) were produced in the company's Japanese plants, with the remainder coming from a variety of other plants worldwide. In 2015, Mazda was the fifteenth largest automaker by production worldwide.

View More On Wikipedia.org
  1. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Wakuu wazima humu, naomba ushauri wa kitaalam kwenye gari hii diesel model. Kuhusu ubora na changamoto zake
  2. Mad Max

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4. Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka 2024...
  3. Minjingu Jingu

    Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  4. Extrovert

    Car4Sale 2013 Mazda CX-5 on sale!

    Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana. Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha kupitia skyactiv technology. Iko imported tayari with all duties paid. Hii gari naiachia kwa bei ya 32...
  5. B

    Dini ya Kwanza Duniani Zoroastrianism na Mazda ambaye ni Mungu Mmoja wa Wote

    https://m.youtube.com/watch?v=CkV0dGk6XxA Zoroastrianism ni dini ya kale ya Kiajemi ambayo inaweza kuwa ilianza mapema kama miaka 4,000 iliyopita. Bila shaka imani ya kwanza ya Mungu mmoja ulimwenguni, ni moja ya dini kongwe ambazo bado zipo. Zoroastrianism ilikuwa dini ya serikali ya nasaba...
  6. Tman900

    Mazda Verisa, Vitz au Ist ipi ni gari nzuri kati ya hizo?

    1. Matatizo ya Mazida Verisa. 2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana 3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
  7. Feld Marshal Tantawi

    Mazda CX 5 fuels consumption (petrol)

    Wakuu habari Nataka jua ulaji wa mafuta wa hizo gari hasa za petrol mana naona wadau wanasifia sana Mazda hasa ulaji wa mafuta. Nataka pata uhakika hasa kwa wanaomiliki ndinga za mazda hasa Model ya CX 5
  8. Magari Aina Zote

    Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  9. Samatime Magari

    🚨 Mazda Verisa aka Dogo Janja

    Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni wakiondoka kinalamba kabisa, ka vizuri twende pamoja utanielewa tu.. . Verisa kimuonekana amekaa...
  10. Mshuza2

    Mazda 6 speed MT Turbo

    Mwenye kuijua vizuri hii gari,chuma ni manual halafu ina gia 6.. Courtesey:From twitter.
  11. Samatime Magari

    🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

    Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
  12. YETU MOTORS CO LTD

    Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  13. kayeja jr

    Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

    Wakuu nataman kujua kati ya hizi gari mbili ni gari ipi ya kuishi nayo in terms of .perfomance .durability .reliability .efficienty in terms of wese na mazagazaga mengine ila kwenye price naona kam hazitofautiani sana
  14. Baba king

    Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
  15. Hassan Loloo

    Car4Sale Tunafanya Biashara ya kuuza na kununua magari, mapya na yaliyotumika Tanzania

    TOYOTA HARRIER Engine 5S, Cc 2160 Mwaka 2000 Rangi Black Bei 16.5 million Call/whatsapp 0672697409
Back
Top Bottom