🚨 Mazda Verisa aka Dogo Janja

Feb 10, 2017
99
329
Fmp4k2YXwAMNoLW

Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni wakiondoka kinalamba kabisa, ka vizuri twende pamoja utanielewa tu..
.
Verisa kimuonekana amekaa kipole sana wachaga wanaita kishoia Ila ni gari moja ndogo ila yenye uwezo mkubwa na imefanya vizuri sana sokoni toka imetoka, Gari Ilitengenezwa kwa ajili ya soko la Japan tu Picha linaanza 2004 Mazda walitengeneza gari 19,473 wakauza gari 18,526, wakafunga mwaka na balance ya gari 947 tu.
.
Fmp5UmFX0AA-1e3
Fmp6PX1X0AAaPnz

.
Sasa ukiona gari Wajapan wameilewa jua kwamba hiyo gari iko vizur ni kama Jecha au Mahera wakwambie ule uchaguzi zambarau au supreme leader amewaibia kura Kijani hapa lazima utajua kweli tukio walilopigwa sio la mchezo [Jokes] tuendelee..
.
Jina Verisa ni la kiitaliano likimaanisha ukweli [verita] au kuridhika [fullfillment] na gari imetengezwa kwa ubora, simple na compact, Kimuonekana ina shape flani kama box simple ndefu [mbele to nyuma] halafu fupi [chini kwenda juu, Ina fenders [mashavu] yanayotoka nje Kitu kinachofanya ionekana pana na ikiwa na stylish exterior..
.
Bumber lake lina air intakes kubwa zikiwa na fog lights na taa za mbele ni Xenon [ziko clear na zina mwanga mzuri] Ndani iko poa steering yake ina spoke tatu ikiwa na audio controls, analog meters mbili za rpm Na speed + taa za gear na taarifa zingine..
.
Fmp6hfnXoAAgPM_
Fmp89wwXgAEMnmt

.
Leg room ipo ya kutosha hata mtu mrefu wa kawaida anakaa vizuri na comfortable Ila ukiwa mrefu kuanzia kiunoni kujaa juu unaweza pata shida kidogo. Au kama una shingo ndefu pia unaweza pata tabu itakua ukipita kwenye bumps Kichwa kinagusa gusa roof, so kama ni mrefu maeneo hayo sikushauri..
.
Legroom seat za nyuma ipo ya kawaida mtu mrefu wa kawaida anakaa vizuri na Boot ipo ya kutosha kwa mizigo ya kawaida plus unaweza laza seat kupata nafasi zaidi..
.
Fmp7-kfXwAAvXv9
Fmp8JG3XoAI8rwb

.
Gari imekuja na petrol engine ya 1.5L [Hp 113] na 4 speed AT gear box 4WD na 2WD, 4WD yake iko configured electronically [e4WD] . Yani gari inatumia motor ya umeme kuzungusha tyre za nyuma na hili limefanyika ili kuachana na driving shaft [ile chuma inayozungusha tyre za nyuma]..
.
Hii ni nzuri sababu kama hakuna uhitaji wa 4WD zinajizima automatic unakua unatumia tyre za mbele tu. Mafuta inatumia 8.8L per 100Km, kama 12Km/L kwa za 2004-2005, 2006 ++ zinaenda mpaka 15 ++ km/L wakati 2012 ++ zenyewe zinagusa mpaka 18Km/L..
.
Hii tofauti inaletwa na advancement ya technology kwenye engine na maboresho mengine, Full tank ni litre 45 na gari ina accelerate from 0-100km/h kwa sekunde 12 which is not very bad kabisa kwa gari ndogo yenye engine hii..
.
Fmp8UQPXEAAQLg_
Fmp9161WQAEAN1r

.
Maintenance ya hii gari sio jambo la kuwaza Hata kama uchumi wako ni January ila bado unaimba usiache Mungu mwaka upite bila kutenda miujiza unakiweza tu, Parts zake zinapatikana though sio kwa wingi ila zipo na bei imechangamka kidogo sana na bei kuchangamka kwake sio kwa kukukimbiza ni mchangamko wa kawaida tu..
.
Gari iko stable barabarani na ikiiunguruma imetulia, sio kama gari ndogo zingine engine inaungurumia ndani mixer kutetemeka Hiki kina independent suspension mbele na nyuma tofauti na wenzake kama kina ist ambao suspension kwa mbele zina zinajitegema ila nyuma ni dependant..
.
Angalia diagram na picha kupata uelewe zaidi, Hii feature imeisaidia gari kutulia barabarani [stability] hata ikiwa speed kubwa plus ikikupa smoother ,comfort zaidi na traction [tyre kushika barabara] kwa uzuri zaidi.
.
Fmp_PkiXEAEjDWN
FmqHJE_X0AAySox

.
Kama unataka utofauti kidogo hii gari ni option nzuri Ukicompare na passo, vitz, swift, ist, nissan note, nissan march and the likes. Halafu kina extra features kama curtain airbags [airbag za pembeni], Electronic Stability control, Steering Audio control, 3 Point ELR seatbelt nk.
.
Sema ndo hivyo Toyota wameshaturoga yani Brand zingine tunaonaga hazifai mpaka tunakosa vitu vizuri kibwege bwege tu, Halafu kana speed balaa [nguvu kubwa umbo dogo na jepesi]. Kama ni mtu wa mambio ya low budget pia ni option nzuri kwako plus ground clearance yake sio mbaya sana 6.1 inches almost kama kina ist.
.
Sema kama unakaa Bonyokwa inaweza ikawa changamoto kidogo ingawa unaweza weka spacer kikanyanyuka kidogo [waone wataalamu]. Common issues ni kuua gasket sema hapa ikitokea tafuta after market gasket OG ambayo iko vizuri, gearbox ukizembea service inachelewa kubadilisha gear pia.
.
Pia zina tabia ya kula coolant hasa ukiwa unatumia coolant za mchongo na kikianza hivi baadaye kitachemsha kikubwa ni tumia vitu OG utakua safe Tofauti na hapo issue zingine ziko subjected na matunzo tu, ukiitunza gari vizuri itakupa maisha marefu tu bila kumjua fundi.
.
Na kama unazipenda hizi gari anzia 2006 au 09, Hizi miaka ndo kuna upgrades kuanzia interior, exterior na machine kidogo Halafu Mazda ni Japanese brand sio ya kuogopa Mazda na Toyota ni kama Mama na Supreme Leader wote ni ndugu vikao wanafanyia Ikulu so Iogope kama ina fault ambayo inajulikana duniani.
.
FmqAk1JWQAMlfqU
Fmp_7HzWAAATmYR

.
Usipende kukapa mzigo mkubwa na kufukia mashimo utawahi kukachosha huko chini, Sasa najua kuna wapenzi wa Demio pia, nawakumbuka ila huyu tutamgusa siku nyingine kikubwa endelea kufatilia tu katika kurasa zetu za jamii [twitter, instagram,facebook, jamii forum @samatimemagari/cardealers].
.
Mazda Verisa tukikuletea toka Japan minimum budget ni Tsh 12M ++ mpaka usajili, Bei inaweza panda au shuka kutokana na mwaka + condition husika ya gari. Kama unahitaji kuagiza gari Japan , karibu Tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand etc.. . Dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa bei safi.
.
FmqA-PdX0AALjyI
FmqBBHWXwAAptsv
FmqBD5yXgAAnYk2

.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi salama na unaojali muda na fedha zako. Simply tupigie au njoo WhatsApp au ofisini Posta Mpya Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri.. . Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu..
.
FmqCbWnXwAE-HMm
FmqCjzuXEAAEPT9
FmqCsObXkAAz7DC

.
Utatupa hitaji lako tutakupa ushauri pia then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau ku RT kwa ajili ya wengine na Kama hujatu follow katika kurasa zetu za jamii follow sasa ili next time usipitwe na madini.
.
Pia tuna Free coaching group/channel kwa ajili yako, Hapo utakutana na madini kwa undani zaidi kuhusu magari, Kama uko interested Bofya hii link [https://wa.me/message/FSJ6DHIDTAVDA1…] itakuleta WhatsApp, then share jina lako na unako patikana tutasave number yako then tutakuunga na WhatsApp/telegram coaching groups ..
.
Asante
Samatime
Get A smart Car like You
Mobile 0714547598
 
Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
6,299
10,070

Ndefu sana nitairudia
 
shatisuruali

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
805
2,298
Ulintisha mwanzoni maana nimetafiti sana wiki iliyopita hapa jamiiforums nikawa sipati majibu ya kuridhisha. Umenipa mwanga zaidi maana nina mpango nako.
 
Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,568
6,632
Ngoja niwabadilishie watoto kawe kanawapeleka shule.
 
8 Reactions
Reply
Top Bottom