...Sasa Ukijue Cha Nini Wakati Umeishaishi Hapo MIAKA MITATU na hujapatwa na lolote baya ! Ukijue ili iweje ? Tupa mbali au Choma Moto TU !...Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Nakuona bwana vagina unapenda mambo ya umbea sana
Sema hii nchi huwezi kua na stress hata kama Tanesco wanakera kmmk πππWe siunaona x hzo watu wamebet droo hzo ni timu za uarabuni huko wadau tu wamedondosha karatasi yao
KabisaSema hii nchi huwezi kua na stress hata kama Tanesco wanakera kmmk πππ
Usihangaikie kitu kisicho na tija, choma moto uendalee na maisha yako, imani zake za kijinga achana nazo shika imani zako.Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Nakuona bwana vagina unapenda mambo ya umbea sana
Lini utaenda kusalimiana na majini huko macca kama sheikh mwenzako kipozeo?
hujajibu swali langu bwana vaginaKwani huyo uliyemfanya mungu karudishwa na ibilisi ??
Mathew 4:8
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
View attachment 2920160
We mdanganye achome aone cha motoUsiogope..sali kwa imani yako.
Choma moto hiyo kitu hakuna baya litakutokea.
Acha kumtisha bana.We mdanganye achome aone cha moto
hujajibu swali langu bwana vagina
Au hujaenda macca kuswali na majini wenzio kama asemavyo kipozeo?
Mulize yule alitingwa roba pangoni alifanywa nini na ibilisi mpaka akawa kichaaNamsubiri huyu uliyemfanya mungu arudishwe na ibilisi
Aliewaambia mshana anajua kiarabu ni nani?Mshana Jr tusaidie ni nini hicho?
kazi yake?
Namna ya kuepuka madhara yanayoweza kutokea,
JF ni Familia kubwa tumsaidie mwana familia mwenzetu!
Yaani kwenye picha original haisomeki vizuri bali kwenye screenshot acha kuona watu wajinga. Usikute hata kinda huwezi nunuanimescreeshot ili isomeke vizuri
Mkuu,hiyo ni janja janja ya majirani zako kukupima Imani uogope kuishi apo meaning kwamba hawakutaki wew uishi apo but kwa asie na hatia na mwenye Imani thabiti haina madhara yoyote, ni ya kupiga maombi ya nguvu na kuichoma moto tu π
huo ni mtaji wa kuimarisha na kuongeza Imani yako π
miaka ya nyuma nikiwa mtumishi wa umma ajira ya kwanza kabisa, katika kijiji nilipopangiwa siku ya pili tu tangu niripoti kazini,
usiku nikafungiwa kwa nje na kufuli kabisa na watu wasio julikana, huku hapo mlangoni pakiwa pametapakaa damu ya kuku mweupe jogoo, mkubwa sana na alienona mno, alikua amechinjwa apo mlangoni pangu, sambamba na jogoo palikua na nazi ilovunjwa, ilikua imeandikwa kwa lugha nisiyo ielewa inafanana na hiyoπ
kwasabb nilikua na msingi thabiti wa Imani, nilitoa taarifa kwa wafanyakazi wenzangu na serikali ya kijiji wakaja wakavunja kufuli nikatoka, baada ya kuvunja lile kufuli kwa njee, tulimnyonyoa yule jogoo tukamchemsha supu na kidari na paja kilichobaki nikapika rosti ya mchuzi mzito na ile nazi π
Aise ilikua amezingi sana na mpaka leo nipo nadunda tyu π
Math 4:8 Alichukuliwa mpaka juu milimani na ibilisi akataka kuhongwa miji ibilisi kama vile yeye siye anayemiliki hiyo miji , utopolo mtupuMulize yule alitingwa roba pangoni alifanywa nini na ibilisi mpaka akawa kichaa
Mulize yule alitingwa roba pangoni alifanywa nini na ibilisi mpaka akawa kichaa
Aisee,Aliewaambia mshana anajua kiarabu ni nani?
Hiyo sio kawaida,tuwe wa kweli.pole kaka kwa kupata wasiwasi ila ni kawaida