Msaada jamani hiki ni nini?

hiyo ni janja janja ya majirani zako kukupima Imani uogope kuishi apo meaning kwamba hawakutaki wew uishi apo but kwa asie na hatia na mwenye Imani thabiti haina madhara yoyote, ni ya kupiga maombi ya nguvu na kuichoma moto tu πŸ’

huo ni mtaji wa kuimarisha na kuongeza Imani yako πŸ’

miaka ya nyuma nikiwa mtumishi wa umma ajira ya kwanza kabisa, katika kijiji nilipopangiwa siku ya pili tu tangu niripoti kazini,

usiku nikafungiwa kwa nje na kufuli kabisa na watu wasio julikana, huku hapo mlangoni pakiwa pametapakaa damu ya kuku mweupe jogoo, mkubwa sana na alienona mno, alikua amechinjwa apo mlangoni pangu, sambamba na jogoo palikua na nazi ilovunjwa, ilikua imeandikwa kwa lugha nisiyo ielewa inafanana na hiyoπŸ’

kwasabb nilikua na msingi thabiti wa Imani, nilitoa taarifa kwa wafanyakazi wenzangu na serikali ya kijiji wakaja wakavunja kufuli nikatoka, baada ya kuvunja lile kufuli kwa njee, tulimnyonyoa yule jogoo tukamchemsha supu na kidari na paja kilichobaki nikapika rosti ya mchuzi mzito na ile nazi πŸ’

Aise ilikua amezingi sana na mpaka leo nipo nadunda tyu πŸ’
 
Wanasema watakutoa kafara wewe!
 
Chai
 
Hakuna
hakuna kiarabu hapo ni uhuni tu ww choma moto tu hakuna madhara yeyote hao walio hama walikuwa washirikina
 
Hapa ndo nilipoishia kuendelea kusoma posts nyingine πŸ˜„
πŸ˜…kajisahaulisha alituomba ushauri wakati akiwa katika vita na bebe mama zake, nime mkumbusha tu asijifanyeπŸ˜‡ ndala aliyo ibua mlangoni hajui imetoka wapi😌 Labda?

Yaani anakaribishwa JF kama Introduction yake mnyewe
 
Ushanunuq iyo ni yako so unatakiwa uiweke ktk ulinzi wako uo ni ulinz wake so waweza ukusanya tu kama uchafu alafu ulikosea ukutakiwa kufanya usafi wewe ungeajiri mtu
 
kajisahaulisha alituomba ushauri wakati akiwa katika vita na bebe mama zake, nime mkumbusha tu asijifanye
ndala aliyo ibua mlangoni hajui imetoka wapi
Labda?

Yaani anakaribishwa JF kama Introduction yake mnyewe
hueleweki
 
Unapaswa kutulia ila uwe thabiti katika imani. Hilo ni zindiko na katatasi hiyo imeandikwa agano na majini na hata kuchorwa jini.

Maadamu uneshaiona na hata kuichimbua basi ina maanisha upo salama kwa kiasi flani ila yakupaswa kujiweka vizuri kiroho.

Uwe mwangalifu na hiyo nyumba kwani palisimikwa majini. Unapaswa kuwaleta watumishi halisi wa Mungu Aliye Hai wakusaidie kusafisha hapo kwa Jina la Yesu!
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=wighxBvPip4
 
Wala usiogope hakunaga kafara inayoandikwaga kwa kiswahili hivyo kuwa makini tu usitapeliwe
 
Hilo ni herizi choma moto wala usiogope huyo alie kuuzia nyumba hiyo alikuwa mshirikini hapa aliliwa hela wakampa hiyo karatasi na maandishi yaliyo andikwa kwa Zafarani kama ulinzi wake choma moto kisha maisha yaendelee
 
Ndo maana sipendi kununua nyumba ya mtu, aidha nijenge mm au ninunue ivunjwe nianze upya. Kuna mda unakaa nyumba ambayo tyr ina contract na majini
Wewe unaamini sana ulozi,kununua nyumba sio ajabu bhana usimuogopeshe unaweza kujenga walozi wakakufuata tu
 
Hiyo ni equation yenye X 4, solve for x, piga integral by part, imeiaha hiyo, jibu linakuja in 2 decimal point.
πŸ€£πŸ˜‚
 
Comments zote hakuna alieweza kusoma hiko kimemo kama kilivyo, nilijua ukipita madrasa kusoma kiarabu rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…