Msaada: Hotel nzuri ya kufikia Mbeya city. Tzs 20 to 30 per night

Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Kuba lodge inaitwa Kilimahewa iko kule karibu na stendi kuu mtaa nimeusahau
 
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Hakuna hotel za bei iyo labda kwenu singida iramba mnako kunya porini
 
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Wewe ni ME au KE, tuanzie hapo kwanza?
 
Hamna hotel ya sh 20000 mkuu ila kama unataka sehemu poa ya malazi kwa gharama yako hiyo inamaana unataka misosi ya kiamerican chips kama kino iwe karibu pia Bila kusahau totoz za vyuo za kumwaga.
Fikia Lodge moja inaitwa LIN iko forest karibu na mzumbe University me nilifikia hivi karibuni sikujuta ila huwa inajaa sana sababu ya hawa walimu wanaokuja kufanya lectures vyuo vya mbeya.
Nadhani vyumba ni 25000- 30000
Tawile mkuu, nasikia hayo maeneo ya Forest ni ya kishua kidogo.
 
Nilifikiri unatafuta ya 20 to 30 tshs, nikashangaa na utangulizi

Oooh

Kumbe ya 20k to 30k. Then ukapunguza

Napita
 
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Karibu sana Mbeya, njoo ustarehe kwenye hotel nzuri ipo Soweto Karibu na Chuo cha TEKU. Ni mahali tulivu sana. Panaitwa Star Inn, gari la hotel litakufuata airport, Stesheni au Stand Kuu. Ni PM kwa mawasiliano zaidi. Karibu

Bei ni 20,000/- hadi 35,000/-
 
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Ondoa nomino 'hotel' uweke nomino 'guest house', pia ondoa kivumishi 'nzuri' weka kujisetiri. Nenda stendi kuu kuna guest houses kadhaa kwa bajeti yako hiyo
 
Dah bashite nae anashindwa kuweka vyeti analeta ujambazi kuvamia vituo
 
kama unataka lodge ambayo you won't be disturbed,NENDA MABATINI LODGE,inapatikana along MBALIZ ROAD,ni mwendo wa dakika tano tu mpaka stand kuu kwa pikipiki!

MABATINI LODGE ipo katikati ya mji!kuwa makini usije ukaenda lodge za NSALAGA,UYOLE,hutafurahia kufka mbeya and they are very far from the city centre!!!

KARIBU SANA GREENCITY,kama utahitaji msaada zaidi PM!
 
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Safii kabisa. Nakushauri ufikie MFIKEMO REST HOUSE, iko Sae. Kama unakwenda na basi huko Mbeya, shukia stand inaitwa Nanenane. Kisha chukua bajaj au Bodaboda, ni 1500/- mpaka hotelini. Au Taxi ni 3000/- tu. Kama unashuka na ndege Songwe Airport, chukua shuttle ya kijana mmoja anaitwa Mbaki. Mwambie akifikishe MFIKEMO R. HOUSE Sae. Ni Tshs. 10,000/-. Wasalim sana Mbeya, ni jiji zuri kabisa kwa afya. Tahadhali, kuna mvua na baridi kwa sasa, makoti ni muhimu sana.
 
kama unataka lodge ambayo you won't be disturbed,NENDA MABATINI LODGE,inapatikana along MBALIZ ROAD,ni mwendo wa dakika tano tu mpaka stand kuu kwa pikipiki!

MABATINI LODGE ipo katikati ya mji na ina self contained roomz, kuwa makini usije ukaenda lodge za NSALAGA,UYOLE,hutafurahia kufka mbeya and they are very far from the city centre!!!

KARIBU SANA GREENCITY,kama utahitaji msaada zaidi PM!
 
Natafuta hotel, motel, guest house, lodge ya kulala mjini mbeya kwa bei ya Tzs 20 hadi 30.
Nami week ijayo nitakuwa mbeya ila mimi mbeya ndo nyumbani kwa kukusaidia kuna Lodge nane nane pale nzuri sana kwa shilingi 15000 tu halafu eneo tulivu sana na pamejificha.
 
Back
Top Bottom