Msaada: Hotel nzuri ya kufikia Mbeya city. Tzs 20 to 30 per night

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,020
2,257
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
 
Hamna hotel ya sh 20000 mkuu ila kama unataka sehemu poa ya malazi kwa gharama yako hiyo inamaana unataka misosi ya kiamerican chips kama kino iwe karibu pia Bila kusahau totoz za vyuo za kumwaga.
Fikia Lodge moja inaitwa LIN iko forest karibu na mzumbe University me nilifikia hivi karibuni sikujuta ila huwa inajaa sana sababu ya hawa walimu wanaokuja kufanya lectures vyuo vya mbeya.
Nadhani vyumba ni 25000- 30000
 
Sawa asante sana mkuu. Mimi ni mwanamama hivyo sidhani kama nitawahitaji totos
Entim hata mimi naenda kikazi mwisho WA mwezi mbeya kama utakaa zaidi ya wiki mbili tutachat pm,nina kazi kyela na mkoa WA songwe
 
Ukifika mbeya stendi kuu wambie wakupeleke guest moja ina itwa Katumba.. ipo mitaa ya mbalizi road..ipo vzr asubuhi una pewa maji motoo..vyumba safi..tatizo hakuna chumba cha self..
 
Ukifika mbeya stendi kuu wambie wakupeleke guest moja ina itwa Katumba.. ipo mitaa ya mbalizi road..ipo vzr asubuhi una pewa maji motoo..vyumba safi..tatizo hakuna chumba cha self..
Aisee self ni muhimu. Bora nipunguze siku moja nifidie niongezee niweze kulipa 30 self
 
Kuna ho
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Kuna hotel nzur inaitwa ilongastar ni elfu 15 upo 20 ipo stend! Ukifika stend kuu chukua bodaboda ni dk 5! Kwa mkuu kuna short cut dk 10! Kutoka stend karb green city
 
Fikia westpoint iko nsalanga
Kuanzia kifungua kinywa bure, maji moto na dstv... All rooms are self container. Karbu
 
Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.

Kwa offer yako mahali pazuri na salama ni ILONGOSTAN, iko karibu na Mbeya Bus Terminal...imetulia na vyumba vyake ni stardand...!! HUTAJUTA...!!
 
Sawa asante sana mkuu. Mimi ni mwanamama hivyo sidhani kama nitawahitaji totos
emoji4.png

Kama ni mwanamama nakushauri nenda ILONGOSTAN, ni patulivu sana. Faida ya pili iko jirani na Bus Terminal...!!
 
Back
Top Bottom