GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,299
Unaweza ukaenda Mfikemo ipo SAE kwa bei zako hizo, hope hutajutaNatafuta hotel, motel, guest house, lodge ya kulala mjini mbeya kwa bei ya Tzs 20 hadi 30.
Unaweza ukaenda Mfikemo ipo SAE kwa bei zako hizo, hope hutajutaNatafuta hotel, motel, guest house, lodge ya kulala mjini mbeya kwa bei ya Tzs 20 hadi 30.
Huyu anatafuta guest aseee buku 30!???We unatafuta hotel au guest bubu?maana hakuna hotel ya bei hyo hapa duniani.
Kuba lodge inaitwa Kilimahewa iko kule karibu na stendi kuu mtaa nimeusahauWakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Hakuna hotel za bei iyo labda kwenu singida iramba mnako kunya poriniWakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Kama unahitaj company ya mtoto wa kiume do not hesitate to text me in PMSawa asante sana mkuu. Mimi ni mwanamama hivyo sidhani kama nitawahitaji totos
Nafurahi kukuona mndali mwenzanguHaaaaaaaaaa haaaaaaaaaa haaaaaaaaaa...!! Utanyelite kakomu songo, wagwa pashi....!! Haaaaaaaa haaaaaa haaaaaaa...!! Nakumbuka Kafule Sek moja hiyo, 19901993...!!
Wewe ni ME au KE, tuanzie hapo kwanza?Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Tawile mkuu, nasikia hayo maeneo ya Forest ni ya kishua kidogo.Hamna hotel ya sh 20000 mkuu ila kama unataka sehemu poa ya malazi kwa gharama yako hiyo inamaana unataka misosi ya kiamerican chips kama kino iwe karibu pia Bila kusahau totoz za vyuo za kumwaga.
Fikia Lodge moja inaitwa LIN iko forest karibu na mzumbe University me nilifikia hivi karibuni sikujuta ila huwa inajaa sana sababu ya hawa walimu wanaokuja kufanya lectures vyuo vya mbeya.
Nadhani vyumba ni 25000- 30000
Karibu sana Mbeya, njoo ustarehe kwenye hotel nzuri ipo Soweto Karibu na Chuo cha TEKU. Ni mahali tulivu sana. Panaitwa Star Inn, gari la hotel litakufuata airport, Stesheni au Stand Kuu. Ni PM kwa mawasiliano zaidi. KaribuWakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Yah forest ni ukanda wenye ustaarabu WA kati, kumepoa ila Kuna mambo mazuri mengi pia sio uswaziTawile mkuu, nasikia hayo maeneo ya Forest ni ya kishua kidogo.
Ondoa nomino 'hotel' uweke nomino 'guest house', pia ondoa kivumishi 'nzuri' weka kujisetiri. Nenda stendi kuu kuna guest houses kadhaa kwa bajeti yako hiyoWakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
hotel za huko ni kama guest house tu
Safii kabisa. Nakushauri ufikie MFIKEMO REST HOUSE, iko Sae. Kama unakwenda na basi huko Mbeya, shukia stand inaitwa Nanenane. Kisha chukua bajaj au Bodaboda, ni 1500/- mpaka hotelini. Au Taxi ni 3000/- tu. Kama unashuka na ndege Songwe Airport, chukua shuttle ya kijana mmoja anaitwa Mbaki. Mwambie akifikishe MFIKEMO R. HOUSE Sae. Ni Tshs. 10,000/-. Wasalim sana Mbeya, ni jiji zuri kabisa kwa afya. Tahadhali, kuna mvua na baridi kwa sasa, makoti ni muhimu sana.Wakuu,
Za jumapili. Next week nataraji kutembelea mkoa wa Mbeya sijawahi kufika.
Naombeni msaada hotel nzuri mbeya mjini; hali uchumi siyo nzuri hivyo kuanzia Tzs 15,000 hadi 25,000 per night nitamudu bila shaka.
Nami week ijayo nitakuwa mbeya ila mimi mbeya ndo nyumbani kwa kukusaidia kuna Lodge nane nane pale nzuri sana kwa shilingi 15000 tu halafu eneo tulivu sana na pamejificha.Natafuta hotel, motel, guest house, lodge ya kulala mjini mbeya kwa bei ya Tzs 20 hadi 30.