Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,236
- 4,779
Eb ngoja mmesha thibitisha kwanza kama hiyo gun sio toy maana migambo huchonga toys kwa ajili ya mazoezi
Mtoto wa nyoka hawezi kuwa jongoo.Nimeshangaa sana! Hatari Sana.Alafu dogo aliyeishika ana confidence balaa movie zinawaharibu madogo.Enzi zetu unaitupa chini na kukimbia.
Itakuwa akili za kushikiwa. Kiswahili kwa sasa kinazungumzwa na watu wengi. Nchi jirani tunazopakana nazo baadhi ya raia wake wanakifahamu Kiswahili. Mfano Mashariki wa DRC kuna wazungumzaji wengi wa Kiswahili na ndiko kuna vikundi vingi vya waasi. Hii sura kama inafanana na Banyamulenge!Kwahiyo wewe ukiona tu picha ina caption kwa lugha ya Kiswahili basi unajua kua huyo mtu anakua ni mtanzania moja kwa moja?
Akili za wapi hizi?
Pamoja na mapungufu mengi katika Majeshi yetu, nakataa hii picha sio mwanajeshi wa Tanzania.Maaskari wa siku hizi ni vituko, haileweki wanafanya hivyo kwa minajili gani huku kanuni za maisha ya kijeshi haziruhusu mambo hayo
Kwahiyo wewe ukiona tu picha ina caption kwa lugha ya Kiswahili basi huyo mtu anakua ni mtanzania?
Akili za wapI hizi.
Ogopa Mungu na Teknolojia wakati mwingine ishughulishe akili kidogo hii Dunia ni ya MunguItakuwa akili za kushikiwa. Kiswahili kwa sasa kinazungumzwa na watu wengi. Nchi jirani tunazopakana nazo baadhi ya raia wake wanakifahamu Kiswahili. Mfano Mashariki wa DRC kuna wazungumzaji wengi wa Kiswahili na ndiko kuna vikundi vingi vya waasi. Hii sura kama inafanana na Banyamulenge!
Hapo ndio mwisho wa kuishughulisha akili yako? Kwahiyo mtu yeyote akivaa jezi ya Barcelona anakua ni Mspania? Mtu akivaa jezi ya Manchester united anakua ni Muingereza?Ogopa Mungu na Teknolojia wakati mwingine ishughulishe akili kidogo hii Dunia ni ya MunguView attachment 2043830
Wewe kichaa jamaa kafahamika na ameshadakwa.Mnajitia ujuaji.Endelea kuputuliza tumba humu.Hapo ndio mwisho wa kuishughulisha akili yako? Kwahiyo mtu yeyote akivaa jezi ya Barcelona anakua ni Mspania? Mtu akivaa jezi ya Manchester united anakua ni Muingereza?
Una umri gani? Isije ikawa naelewesha kitoto cha darasa la pili.
Huna akili wewe,Wewe kichaa jamaa kafahamika na ameshadakwa.Mnajitia ujuaji.Endelea kuputuliza tumba humu.
Maskini wee lol.Ogopa Mungu na Teknolojia wakati mwingine ishughulishe akili kidogo hii Dunia ni ya MunguView attachment 2043830
Kafahamika wapi? Anaitwa nani? Wapi walipomdakia?Wewe kichaa jamaa kafahamika na ameshadakwa.Mnajitia ujuaji.Endelea kuputuliza tumba humu.