Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Ndio jinsi hizo simu zilivyo, zina display mbaya sana. Kuanzia galaxy prime mpaka hii hazina tofauti yoyote.
Boss mimi ni Mzoefu ukiachana na utaalam nilionao, samsung wako Makini sana na swala la display....Hawawezi fanya ujinga wa kutengeneza display mbovu kwenye simu latest kama J7 Prime, kuna mshikaji aliniletea iko ivo ivo akaniambia laki tatu na full box, nikamwambia ni OG?? akakaza akidai OG..Nikamwambia Fungua Box...kama ni OG 300 nakupa ila kama si OG utaondoka tu....akamenya kile kikaratasi duuh Ngomaa Fekii na yeye ikabidi akubali
 
Mkuu Mkwawa hio ni Very Fake Galaxy J7 Prime...hata wauzaji wanajua ila wanashikisha tu....tazama tu display....Hakuna samsung OG yenye display ya hivo.
j7 prime kioo chake ni TFT sio Amoled, so ni kawaida kuwa kama maji ya mchele.

kuna chengine umekiona kinaashiria ufeki?

mimi screenshot zake zinakuja kama qHD kitu ambacho kinanipa mashaka maana zilitakiwa zije kama Full HD.
 
Kwahiyo Chief Mkwawa pekee ndio anazijua Samsung? Aya Mkuu, ngoja tukuache na Chief wako.
 
Maadam chief mkwawa kasema ni org basi napokea hilo. Maana ambacho naona kinaleta utofauti hii ni made by vietnum na zile zenye amolled ni made by korea
 
Maana ingekuwa feki ya feki ningeirudisha nikachukua sony experia z5 alinambia muuzaduka
 
Nimetoa zote niangalizien kama ni original roho itulie kama ni feki asubuhi nafungua duka ananikuta nje
fc8d3d4af015859b514de0883753a023.jpg
dc59c27b4f8a487155fccf39435b934a.jpg
891f551fbb468ec0c0b753a91b448975.jpg
0952faabb8036ad1735f729cc29bcc5a.jpg
Picha ya juu kabisa apo kweny device name pame andikwa

SUMSUNG

Kuna usalama kweli??
 
Kwa vile unamwamini chief mkwawa tu kwa hapa basi endelea kuamini hivyo ila kwa experience yangu hiyo cm ni famba sema famba lenyew liko advanced sana kiasi kwamba wajanja tu wajuzi Wa hizi cm ndio huelewa
 
Asee ndio maaana siikubali Samsung kabisa kama, fake nyingi sana na usipokuwa makini ndio hivyo una haha
 
Inamaana nimetoka kwenye fake tecno naingia fake samsung wakati nimejipiga ili kupata original simu acha niiambie roho yangu ni org ili maisha yaende maana hata mwenye duka alinambia ntaongeza walau laki na nusu kupata sony Xperia wakati hiyo pesa sina. Basi tuù
 
Back
Top Bottom