Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Yeye ana 450k kwa hiyo hajafikia gharama ys kununua simu yako
Aongeze hata laki basi tufanye biashara.
Simu bado ipo new condition na warranty. Ila kwa 550 charger na earphones hapati!
 
Aongeze hata laki basi tufanye biashara.
Simu bado ipo new condition na warranty. Ila kwa 550 charger na earphones hapati!
Hana ziadi ya 450k mi nampa j5 prime yangu ipo vzr mnoo atafurahia
 
Hivi tcra wanampango tena wa kufunga simu feki?
 
Hio simu inabidi ifanyiwe restore factory. Kuna settings kwenye accessibility kule zimechezewa nadhani ni ishu ya contrast ndio inafanya maandishi yawe mazito hivyo
 
Ila jamaa kapigwa mchana kweupe sumsung j7 prime
0934ebd1fc54f8189a9e1c8783b48a5c.jpg
Mimi ndio naitupia muda huu. Ipo poa sana. Tatizo ni vi aikoni vyake ni vibaya tangu nilipi update simu baada ya kununua kama inavyoonekana ktk picha hizo
 
Mimi ndio naitupia muda huu. Ipo poa sana. Tatizo ni vi aikoni vyake ni vibaya tangu nilipi update simu baada ya kununua kama inavyoonekana ktk picha hizo
Ni made by wapi Korea ama vietnum
 
Usipoteze muda bure tafadhali fanya ifutavyo; Andika nyota halafu reli, sifuri, sita, na mwisho reli baadae utaletewa IMEI namba ya simu hiyo.Imei namba ulioletewa itume kwenda 15090.Utaletewa jibu la aina ya simu ulionayo.Kama Samsung galaxy J7 prime itakuja vile vile.Jibu la sms likiwa tofauti na simu yako ujue ni feki na simu feki hapa Tanzania zinazimwa na haziwezi kufanya kazi zaidi ya kuwa TOYI.
 
Simu gani ambayo ni original nijipatie au duka gani linauza simu original nikajipatie maana nimepata na mimi mtu wa kumpiga kwa 450,000 potelea mbali tugawane hasara
Kwanini umtie mwingine hasara akati aliyekuuzia unamfahamu.. Mrudishie simu yake kama akikataa na risiti unayo mpeleke polisi ela yako inarudi.. Kwanini upate hasara na dhambi juu
 
Pole Tiku hiyo simu sio og bna. Watu wana zichakachua sana samsung mpaka unaiona yenyewe.
Muhimu rudi kwa aliyekuuzia mwambie akurudishie pesa zako. Usichukue simu nyingine hapo.
Ukitaka simu tembelea maduka ya simu husika kama Samsung wenyewe wapo hata mlimano city.
 
Back
Top Bottom