Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

Ndio maana sipendagi kabisa haya masamsung, yaani kushikishwa feki ni kugusa tu.

Nakumbuka hata mimi niliwahi kuuziwa S3 mwaka 2014 nikiaminishwa ni OG nimefika home mara inaanza kustuck stuck halafu kamera yake mbovuu kuuliza kwa wanaozijua ndio nikaambiwa sijui ni high copy wala sio OG.

Binafsi mimi sikushauri kabisa ununue Samsung yoyote ile kuna simu za Tecno nzuri tu ambazo hazina makando makando tena nzuri tu kuliko hata hizo Samsung
Unajaribu kumfananisha Zinedine Zidane(Samsung) na Edibily Lunyamila(Tecno)!
 
Back
Top Bottom