Kutumia gari yenye plate number ya Afrika kusini

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
348
847
Kutumia gari yenye plate number za nchi ZA.

Habarini za leo naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe
 
je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe
Ndio,
  • Unaweza kutumia gari yenye plate number za nchi jirani hapa Tanzania kwa muda wa miezi mitatu tu kwa kulipia kibali maalum cha kuingia nchini.
  • Kama unataka kutumia gari hiyo kwa muda mrefu zaidi, utatakiwa kulipa kodi ya usajili na kuhamisha umiliki na kupata plate number za Tanzania.
Vinginevyo, utakuwa unakiuka sheria.
 
Back
Top Bottom