Nguo za mitumba amaBidhaaa zozote iwe nguo viatu vifaa vya ndani hata accessory
Kweli manake kuna picha anaweza kujenga akilini ambavyo sivyoKabisa umemjibu vizuri sie tunampa dondoo tu na tahadhali tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Full nguo za kung'aa njano, kijan sendo za yebo
Yah iko hivyo sijui ni magendoMkuu kiatu cha mpira unanunua katoro elf 40k unakuja kuuza dar 150k
Ni vizuri afike asome mazingira japo nina uhakika atapapendaKweli manake kuna picha anaweza kujenga akilini ambavyo sivyo
Lazima apapende labda aje siku ambayo mvua imenyesha na ni msimu wa matunda you can run awayNi vizuri afike asome mazingira japo nina uhakika atapapenda
Unaweza enda baa ukajua kuna kamati ya sherehe wamevaa sare kumbe noooo wasukuma bwana nguo zimefananaFull nguo za kung'aa njano, kijan sendo za yebo
Afu ukakuta walaaKwel mkuu ata pale ziba igunga nliambiwaga ukimwi balaa
Ni kujiamini na kujiheshimu tu ukicheza tunakupotezaKwel mkuu ata pale ziba igunga nliambiwaga ukimwi balaa
Hii unayo ulizia ukilizika kila kitu tujulishane tuingie chiboIpi mkuu, napenda kampani, yap