Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Biashara ya madini sina uzoefu nayo, unajua mji wa Katoro ni wa wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na ndo mji unaopendwa na wakazi wengi waozunguka maeneo hayo. Hivyo kama unataka kufanya biashara, 1. Mazao 2. Vifaa vya ujenzi, 3. Vifaa vya umeme maana umeme una mda mfupi umefika. La mwisho unaweza kufanya ziara ya kufanya utafiti mdogo eneo husika.
 
Nilipatwa na kupatikana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha safi Sana wanawake wengi wa kule ni kama makarai wakishatumiwa wanatupwa wanabaki kuuza maji ya asili hongera wewe haupo miongoni mwao[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Biashara ya madini sina uzoefu nayo, unajua mji wa Katoro ni wa wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na ndo mji unaopendwa na wakazi wengi waozunguka maeneo hayo. Hivyo kama unataka kufanya biashara, 1. Mazao 2. Vifaa vya ujenzi, 3. Vifaa vya umeme maana umeme una mda mfupi umefika. La mwisho unaweza kufanya ziara ya kufanya utafiti mdogo eneo husika.
Inshallah nataka nikafanye utafiti ila mchele unapatikana wapi sana sana kwa maeneo hayo?
 
Biashara ya madini sina uzoefu nayo, unajua mji wa Katoro ni wa wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na ndo mji unaopendwa na wakazi wengi waozunguka maeneo hayo. Hivyo kama unataka kufanya biashara, 1. Mazao 2. Vifaa vya ujenzi, 3. Vifaa vya umeme maana umeme una mda mfupi umefika. La mwisho unaweza kufanya ziara ya kufanya utafiti mdogo eneo husika.
Na ubarikiwe sina swali. Sante sana mkuu
 
Back
Top Bottom