Ndugu wana jukwaa nawaombeni msaada wa kimawazo kuhusu hii bomoa bomoa kupisha reli,nyumba yetu ya urithi ipo ilala bungoni mwishoni kabisa karibu na reli ya kati inapopita,nyumba yetu inakaribia reli kwa karibu ya mita 20.
Tuna wasiwasi mkubwa wa kuvunjiwa ingawa hili eneo hawajavunja nyumba kama ilivyo eneo la Kamata na Buguruni.
Nawaombeni wanajukwaa wenye kujua au uelewa wa zoezi hili la bomoa bomoa kwa umakini ili kujiridhisha zaidi nyumba zetu zitapitiwa au hapana,nawasilisha.
Waone waliobomolewa, hao wana very reliable information.
Kwa kifupi: soma hiyo, lakini waliwabomolea watu kwa mita 30, kwa uonevu. sijui kwa nini hawakwenda mahakamani
Railways act, 2002
Interpretation
"railway strip'' means the land oil both sides of a railway track measuring in ail urban
area fifteen metres and in a
rural area thirty metres in width from the centre line of the track;
Railway
strip
57--41) A railway strip constitutes land adjacent to the railway track reserved to facilitate future development of rail infrastructure.
(2) Except with the written permission of the Company, a person shall not erect any building or structure or execute any works on a railway strip.
(3) Where any person has erected or erects any building, or structure, or has executed or executes any works on a railway strip without the written permission of the Company, the Company shall give written notice to Such person to demolish or modify such building, structure or works within thirty days of such notice.
(4) Where a person does not, within thirty days of the notice referred to in Subsection (3), demolish or modify the building, structure or works the Company shall demolish or modify or cause to be demolished or modified, the building, structure or works and such person shall pay
for the costs of such demolition or modification.