Msaada: Bomoa bomoa Ilala kupisha reli

Msaada: Bomoa bomoa Ilala kupisha reli

Una stress na nyumba ya urithi pambana na hali yako kunguni ww
Ningekua Batman ,,ningekubeba fasta!! Just for insurance
5cdf3243b61631925465a5dd4975b3d2.jpg
 
yani umelipenda hilo likandemba?hahaaaa nakuapia hapo lilipo halijavaa chupi
Yaaacheni hayo Sweets ,, vipi Krisimas najua hatutoweza kujumuika pamoja ila mie na rafiki yang tulipenda sana kula ,kunywa nakucheza pamoji nanyi ,, Can we?.
590d220d11b93a1b72681bdf1d41fb88.jpg
 
basi sawa ila huyo ameniboa hajui sisi wasukuma ndio tunaongoza dola?
Kawaida bana just myachukulie simple !!! ...yaaah President ni Msukuma ,,Wa majeshi ni msukuma ,nawewe nimsukuma ,kwakweli wasukuma ni Wakarimu sana !! BTW ,, Hii move ya Titanic Umeshaona Part 2 yake ???? Ya ukweli sanaaaa
6f0543b291f2a4e8ffb78922e51e9b36.jpg
 
hapo mkuu nimeamini wewe ni mtu mzuri sana yani mstaraabu sawa nakubali na kuheshimu mawazo yako na pia namuomba msamaha mgoni wangu dennis kwa yote yaliotokea
 
hapo mkuu nimeamini wewe ni mtu mzuri sana yani mstaraabu sawa nakubali na kuheshimu mawazo yako na pia namuomba msamaha mgoni wangu dennis kwa yote yaliotokea
Ewaaaa safi sana ,kunywa maji kidogo ya baridi ,, jiandae nakuja na
b25bf13de39476319922be796a6d2a34.jpg
najua nmechelewa ila chakula chausiku naitaji tule pamoja.
 
Back
Top Bottom