joyce shija
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 471
- 189
- Thread starter
- #21
Asante mkuu,je kuna uhakika zoezi hilo dar limekwisha?Nadhani kama mmeachwa basi mpo salama, nijuavyo hilo zoezi Dar lishaisha..
Asante mkuu,je kuna uhakika zoezi hilo dar limekwisha?Nadhani kama mmeachwa basi mpo salama, nijuavyo hilo zoezi Dar lishaisha..
Asante mkuu,kwa hiyo kuna uhakika hawatakuja kuvunja tena? je zoezi hilo dar limekwisha?Wakivunja nyumba ya urithi kiwanja si kinabaki mali yenu?
Wakivunja nyumba ya urithi kiwanja si kinabaki mali yenu? Mtafugia hata nguruwe... By the way, nimeona wamevunja zaidi upande mmoja huu wa kushoto kama unaelekea Buguruni. Kama mko upande wa kulia angalau mna unafuu...
hata nguruwe... By the way, nimeona wamevunja zaidi upande mmoja huu wa kushoto kama unaelekea Buguruni. Kama mko upande wa kulia angalau mna unafuu...
Asante mkuu,ila wahusika hawaeleweki sababu tukiwauliza tunapata majibu tofauti tofauti yenye kuchanganya.Ni mt 30 mkuu,pole huku kwetu mwanza wamechora kweli ila vyema ukifika ofisi husika utapata ufumbuzi mzuri
Mmejichanganya, ,ilitakiwa siku alipoapishwa huyu bwana mkubwa kuwa Rais ,, nyumba yenu mngeipiga bei,,,, sidhani km mtamtanusurika ktk ilo,,,hamkusoma alama za nyakatiNashukuru mdau.
Kwa hiyo watarudi kuja kutubomolea?mita 30 imeeleweka
katoe fungu la kumi hakika hyo nyumba kawashindia mema usipofanya hivo utasaga meno na itakuwa mita 60Kwa hiyo watarudi kuja kutubomolea?
Duuuh kwakweli tunakosa usingizi mkuu.Inamaana dar bado zoezi linaendelea? maana nyingi zimevunjwa nikafikkiri ndio mwisho.Mmejichanganya, ,ilitakiwa siku alipoapishwa huyu bwana mkubwa kuwa Rais ,, nyumba yenu mngeipiga bei,,,, sidhani km mtamtanusurika ktk ilo,,,hamkusoma alama za nyakati
nifafanulie ndugu yangu sababu bibilia sijasoma kwa sana.katoe fungu la kumi hakika hyo nyumba kawashindia mema usipofanya hivo utasaga meno na itakuwa mita 60
Equivalent to "mbona mnawakanyaga wenzenu kama majani?"Ndugu wana jukwaa nawaombeni msaada wa kimawazo kuhusu hii bomoa bomoa kupisha reli,nyumba yetu ya urithi ipo ilala bungoni mwishoni kabisa karibu na reli ya kati inapopita,nyumba yetu inakaribia reli kwa karibu ya mita 20.
Tuna wasiwasi mkubwa wa kuvunjiwa ingawa hili eneo hawajavunja nyumba kama ilivyo eneo la Kamata na Buguruni.
Nawaombeni wanajukwaa wenye kujua au uelewa wa zoezi hili la bomoa bomoa kwa umakini ili kujiridhisha zaidi nyumba zetu zitapitiwa au hapana,nawasilisha.
ata mimi sijasoma sana ila nafuatilia tu haya mambo dunia kizungumkuti..nifafanulie ndugu yangu sababu bibilia sijasoma kwa sana.
Sina uhakika. Kwani nyumba yenu iliwekewa X?Asante mkuu,kwa hiyo kuna uhakika hawatakuja kuvunja tena? je zoezi hilo dar limekwisha?
Uzeni haraka mkakae chamanzi au chanika maana hapo Hakuna kulipwaNdugu wana jukwaa nawaombeni msaada wa kimawazo kuhusu hii bomoa bomoa kupisha reli,nyumba yetu ya urithi ipo ilala bungoni mwishoni kabisa karibu na reli ya kati inapopita,nyumba yetu inakaribia reli kwa karibu ya mita 20.
Tuna wasiwasi mkubwa wa kuvunjiwa ingawa hili eneo hawajavunja nyumba kama ilivyo eneo la Kamata na Buguruni.
Nawaombeni wanajukwaa wenye kujua au uelewa wa zoezi hili la bomoa bomoa kwa umakini ili kujiridhisha zaidi nyumba zetu zitapitiwa au hapana,nawasilisha.
Nani atanunua mkuu?Uzeni haraka mkakae chamanzi au chanika maana hapo Hakuna kulipwa
Sent using Jamii Forums mobile app
iliwekwa x ndio.Sina uhakika. Kwani nyumba yenu iliwekewa X?
Basi nitafute tufanye maombi isibomolewe. Kila wakija kubomoa Bwana awapige upofu wasiione nyumba. Yani wakija wanaona kama kuna uwanja ulioko wazi. Kwani una mume au uko single single?iliwekwa x ndio.
Niko single mkuu.Basi nitafute tufanye maombi isibomolewe. Kila wakija kubomoa Bwana awapige upofu wasiione nyumba. Yani wakija wanaona kama kuna uwanja ulioko wazi. Kwani una mume au uko single single?
Ni kweli usemavo ila nasikia zoezi la kubomoa dar limekwisha na hakuna ubomoaji tena katika maeneo karibu ya reli,ndio nikataka wadau wenye kujua wanihakikishie ili tupate amani ya roho.Nyumba yenu iliwekewa alama ya X mkitakiwa kuvunja wenyewe kabla mamlaka husika hazijachukua hatua.